Recent content by mlwilomlwilo

  1. mlwilomlwilo

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamtia hatiani Zitto Kabwe katika kesi yake ya Uchochezi. Atakiwa kutotoa matamshi ya Uchochezi kwa mwaka 1. Asema kukata Rufaa

    Umewaza nje ya 18, fuatilia makosa mengi anayofanya jamaa lkn kesi huwa zinaisha kirahisi sana.
  2. mlwilomlwilo

    JamiiForums Tanzania Serikali: Visa vya COVID-19 vyafikia 53. Vyuo na Shule kuendelea kufungwa hadi Serikali itakapotoa tamko jingine

    Hahahahaa dah Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mlwilomlwilo

    JamiiForums Tanzania Serikali: Visa vya COVID-19 vyafikia 53. Vyuo na Shule kuendelea kufungwa hadi Serikali itakapotoa tamko jingine

    Unafahamu ya kutoa taarifa na takwimu za kweli juu ya maambukizi mapya? Nchi yako inategemea msaada mkubwa kimatibabu kutoka W.H.O pamoja na taasisi za kifedha za kimataifa. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mlwilomlwilo

    JamiiForums Tanzania Nani kaiona kesho!? Alikuwa Polisi sasa kondakta wa daladala

    Aliyekwambia ukizaliwa mwaka 1980 unakuwa na miaka 30 nani? Inaonekana somo La hesabu ulikuwa unapiga miswaki tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mlwilomlwilo

    JamiiForums Tanzania Mbinguni ni wapi?

    Habari za yesu kupaa pia ni uongo.
  6. mlwilomlwilo

    JamiiForums Tanzania Ubovu wa product ya Mo ukwaju

    Hahaha duh we jamaa,tena kama upo shamba na choo hakuna lazima uchukue jembe na kuelekea vichakani.
  7. mlwilomlwilo

    JamiiForums Tanzania RC Paul Makonda aijia juu TAMISEMI, atishia kuandaa maandamano mpaka Wizarani

    Dah, ila we mkuu cjui umewaza nini.
  8. mlwilomlwilo

    JamiiForums Tanzania Tuwataje "100 Greatest Tanzanian of all time"

    Statesmann, Muongeze bi Mary Chipungahelo Sijui alikua mkuu wa mkoa gani?
  9. mlwilomlwilo

    JamiiForums Tanzania Asili na Chimbuko la Makabila Yote Tanzania na Africa

    Kuna mchezaji mpira mzimbabwe anaitwa KHAMA BILIATI, majina ya kina KHAMA yanapatikana pia TANGA tz.
  10. mlwilomlwilo

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Mahakama Kuu yakataa maombi ya Tundu Lissu ya kutengua maamuzi ya Spika. Jaji asema itasababisha mgogoro Kikatiba na Bunge

    Unafikiri CUF ya lipumba, UDP na vingine mamluki watasusia hizo chaguzi?
  11. mlwilomlwilo

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Kiranga kashindwa kututhibitishia kama kweli Mungu hayupo?

    Hivi huyu Mungu anayesubiri mpaka aombwe ndipo atoe msaada kwa viumbe wake mbona anakuwa na sifa za kibinadam kabisa yan
  12. mlwilomlwilo

    JamiiForums Tanzania Kumbe Serikali inalijua deni la lililosababisha ndege ikamatwe: Lipo hadi kwenye ripoti ya CAG

    Ukishafanya hivyo nawewe ujiandae hata kama sio wewe basi ni kizazi chako utakachokiacha hapa Duniani, kumbuka nyakati huwa zinapita tu.
  13. mlwilomlwilo

    JamiiForums Tanzania Nyanza Road works ni kampuni ya nani?

    Wala sio waoga, hao utawasikia baada ya 2025 tutunze kumbukumbu tu, kuna wengine wamebadili mpaka ID humu,sie ndio watanzania bhana.
Back
Top Bottom