Mahakama yamtia hatiani Zitto Kabwe katika kesi yake ya Uchochezi. Atakiwa kutotoa matamshi ya Uchochezi kwa mwaka 1. Asema kukata Rufaa

Halafu mbona kama naona zitto is always doing extreme stuffs and he gets away with them stuffs.
Ni kwamba zitto anajua mipaka yake sana au kuna kitu nyuma ya pazia.

Yaani anaweza tu akatoa maneno makali mazitoo mwisho wa siku husikii akapigwa kashkash kama za wapinzani wengine.
Just sinking!
Umewaza nje ya 18, fuatilia makosa mengi anayofanya jamaa lkn kesi huwa zinaisha kirahisi sana.
 
Issue ni kuwa ataweza!maana mwenzetu huyu inaonekana ni addicted kwa maneno ya uchochezi...

Mijitu ya Lumumba mna laana gani?

Hakuna kesi ya UCHOCHEZI wala babake UCHOCHEZI hapa. Hizi Ni kesi za kubumba na za kizushi KUWADHIBITI VIONGOZI WA UPINZANI! Watu wote wene akili wanalijua hili....!!!

Zitto Zuberi Kabwe ni majimarefu kwa CCM ya Magufuli na wakimfuatafuata sana wakamwulize kilichomtokea yule alikuwaga Mbunge wa Mchinga Bwana MUDHIR MUDHIR...!!
 
Vipi hakimu alitoa orodha ya matamshi ambayo ni uchochezi kisheria?

Atakuwa alimkosoa Jiwe. Huu Utawala wa Jiwe hutakiwi kumkosoa Mfalme maana ni kosa la jinai na uhaini....!!!
Yaleyale yanayomtokea Msanii fulani kisa? ATI KWA KUCHEKA PICHA YA JIWE....!!! Non-sense.
 
Zito ajifunze sasa aache mambo ya kuzusha mtandaoni

Ipo siku ndumba zake za ujiji zitatunda kufanya kazi aozee jela
Wacha uwaza ujinga wewe, watu wamo safarikni kutafuta uhuru wa wengi dhidi ya watawala wachache waliohodhi freedom of speech na kuwazushia watu kesi za hapa na pale kwa madhumuni ya kujiimarisha kisiasa.

Siasa za kikoloni hizo
Hakuna uzuri bila ya kudhurika.
ikiwa unaogopa ogopa wewe tuu kupigania haki.

Mzee Mandela kakaa jela miaka 27 kwa kutetea maslahi ya wafrika walio wengi na hatimae kaibuka 'Hero'
sio kusifu ujinga tuu,mukiacha ukweli ulio wazi unafigiswa kwa kuogopa watu kama nyinyi
 
Zitto sasa hivi yuko naye hapa Bahari beach tunapiga story wewe baki na roho mbaya yako kama nyoka wa kijani

Ametegwa sasa ili anase vizuri, kwa hiyo atatakiwa kufunga kopo chafu, afungue lenye hewa
 
Hako kajamaa kapigwe mvua hata 10
Hamna huyu alitaka kuukwepa uchaguzi wa mwezi october! Harafu aseme alifungwa na kuvipa story vyombo vya magharibi kuongea!

Hongera Mahakama Hongera mh hakimu! Ajiandae na uchaguzi apigwe vzr ili akija pigwa mvua baadae asisingizie uchaguzi! Maana huyu jamaa hataacha km alivyosema wakiri wake kamboree.
 
Leo ikiwa ni siku ya Hukumu ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Waandishi wenye Press Cards wamekataliwa kuingia kusikiliza hukumu ya Zitto kwa maelezo kwamba si waandishi wa Mahakama.

UPDATE

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto ameachiwa huru kwa sharti kwamba asitoe matamshi ya uchochezi katika kipindi cha mwaka mmoja.

View attachment 1462392

View attachment 1462266


Zitto kukata Rufaa dhidi ya hukumu yake

View attachment 1462393
Mimi sijayaelewa haya maamuzi au kwa kuwa mimi si mtaaluma, kwa hiyo inamaana baada ya mwaka mmoja anaruhusiwa kuandika au kutuo maneno ya uchochezi? Msaada tafadhali.
 
Kutoka kwenye hukumu kuna maneno yanasema "Zitto hasijiusishe na uchochezi mwaka mmoja" Sasa unakaa unajiuliza inakuwaje mtu umzuie kufanya uchochezi kwa mwaka kwahyo baada ya mwaka ni sawa kufanya uchochezi? hii ni moja ya hukumu ya kipumbavu sana.
 
Halafu mbona kama naona zitto is always doing extreme stuffs and he gets away with them stuffs.
Ni kwamba zitto anajua mipaka yake sana au kuna kitu nyuma ya pazia.
Yaani anaweza tu akatoa maneno makali mazitoo mwisho wa siku husikii akapigwa kashkash kama za wapinzani wengine.
Just sinking!
Continue to sink, you do not belong here.
 
Leo ikiwa ni siku ya Hukumu ya Mbunge wa Kigoma Mjini, Waandishi wenye Press Cards wamekataliwa kuingia kusikiliza hukumu ya Zitto kwa maelezo kwamba si waandishi wa Mahakama.

UPDATE

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Ndugu Zitto ameachiwa huru kwa sharti kwamba asitoe matamshi ya uchochezi katika kipindi cha mwaka mmoja.

View attachment 1462392

View attachment 1462266


Zitto kukata Rufaa dhidi ya hukumu yake

View attachment 1462393
Ulichokiandika na uhalisia ni tofauti kabisa. Kama huna mwanga wa sheria usikurukuke kuandika utumbo wa aina hii.

Mahakama imemkuta na hatia Zitto Kabwe na kumuhukumu kifungo cha nje (conditional discharge), kutokutenda kosa ndani ya mwaka 1 na siyo imemwachia huru.
 
Safari hii hawataki kuingizia serikali mapato. Kuna kila dalili kuwa hizi hukumu kuna nguvu fulani iko nyuma yake, sio hukumu halisi za kimahakama.
 
Wangepunguza at least miezi miwili bill kutoa uchochezi,,mwaka mzima huo Ni uonevu

Amekata rufaa kwa hiyo anategemea kupata nafuu, khe khe ke khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Thubutu! Huko ameingia choo cha kike.
 
Back
Top Bottom