Nyanza Road works ni kampuni ya nani?

Nyanza Road works ni kampuni ya nani?

nyanza road ilikuwepo tangu enzi za nyerere na huyo mnaesema ni mmiliki alikuwa shule anasoma primary :mtakalia maneno hayatakusaidieni
 
nyanza road ilikuwepo tangu enzi za nyerere na huyo mnaesema ni mmiliki alikuwa shule anasoma primary :mtakalia maneno hayatakusaidieni

Tumekuwa watu wa majungu majungu tu bila facts
 
Hao ambao majina yao yako Brela huwa ni washika nafasi tu, wenye mali ni hao wanaojiita wasimamia sheria. Mfano mrahisi, huwa unasikia Lowassa ni tajiri, je unajua kampuni yoyote iliyisajiliwa kwa jina lake? Makonda ana matumizi makubwa kuliko mshahara wake, umewahi kujiuliza anafanya biashara gani?
Hayo ni ya kwako. Wewe uliwasajilia hiyo kampuni?
 
Ungekuwa na elimu kidogo, ungegundua kwamba muleta mada hana lengio la kujua jina la mtu. Shida ni uhusiano wa kampuni na wanssiasa. Sijui kwa nini hukusoma kwa uelewa!
Wewe ndiyo hujamuelewa. Yeye anaulizia wamiliki Wa Nyanza Road Works. Hajaulizia uhusiano Wa kampuni hiyo na wanasiasa
 
UMEELEWA SASA AU BADO ?

 
Enzi za JF iliyopelekea cabinet kuvunjwa wangekumwagia data hapa mpaka basi, kwa sasa waoga hadi uvunguni.
Wala sio waoga, hao utawasikia baada ya 2025 tutunze kumbukumbu tu, kuna wengine wamebadili mpaka ID humu,sie ndio watanzania bhana.
 
Mmiliki huyu hapa
Screenshot_20190621-172741.jpeg
 
Na
Kwahiyo kama mmiliki ndio huyu ina maana Jiwe anamuogopa huyu muhindi ,mbona kazi zote anazopewa anavurunda? Jiwe si haogopagi mtu au ? Au anahisa umo? Maana kwa Tanzania hii kampuni zote zenyemapato makubwa zinazomilikiwa na wahindi na waarabu ni za wanasiasa wa ccm .
 
Kampuni hii inashikilia kiwango kikubwa cha miradi ya makandarasi wazawa ktk ujenzi wa barabara, bila ya kuwa na matokeo mazuri. Kampuni hii ilipigiwa kelele wakati rais akiwa Bunda kwa kutofanyakazi vizuri. Walikimbilia huko na sasa hakuna kinachoenedelea tena. Ikapigiwa kelele kwa kandarasi za Halmashauri ya Temeke DSM. Wakakimbilia huko na kujidai kutibua barabara na sasa kimyaaa!

Takribani kazi nyingi za ujenzi na ukarabati wa barabara za mikoani kila sehemu ni Nyanza. Naomba kufahamu nani anamiliki kampuni hii, ambayo inaonekana kutoguswa na nguvu ya wanasiasa, pamoja na ubora duni wa kazi zao na wingi wa kazi zisizomalizika.
Ukiona mkandarasi kasimama kukamilisha kazi jua tayari hela ya kulipwa haijaiva...don't blame! lami zina madaraja..yawezekana tunatamani kiwango cha juu wakati tumelipia daraja la wastani
 
Nyanza road ilikiwa inapewa shavu tangu magu ni waziri wa ujenzi na hao wahindi ndio walimbeba sana magu toka enzi za njaa kali.sasa ni lazima alipe fadhila. Ila kwenye kazi hawako vibaya, kazi zao nyingi zimetulia.
 
Kampuni ya Nyanza na kampuni ya Ujenzi wa meli ya Songoro
 
Back
Top Bottom