Mkuu nikuweke sawa...2018 Argentina alikutana na France 🇫🇷 ambapo ufaransa alitwaa huo ubingwq 2022 wakakutana tena France 🇫🇷 na Argentina 🇦🇷 ambapo Argentina 🇦🇷 akataa ubingwa....mimi siyo mfuatiliaji wa mpira ila Data za Kombe la Dunia ninazo
Niliwahi kushuhudia mpangaji mwenzetu( mwanamke wa makamo) akimnyemelea kwa nyuma mkaka ambae alikua ni mpangaji mwenzetu kisha akawa kuna vitu anamtupia kwa nyuma sijui alikua anamtupia nini ile jamaa anageuka tu yule mama nayeye akageuka haraka nakuanza kuondoka kama kuna kitu alikua...
Daah! Inasikitisha kwakweli...ndiyo maana kuna member humu aliwahi kusema ukienda kununua Dada powa usivae nguo unazotumia kwenye mihangaiko yako..nahisi hoja yake ilijikita huku.
Ladha ya maisha ni kuwa na kazi ya uhakika kwamba hata ukiulizwa unafanya kazi gani unasema kwa kifua mbele...pia kuhakikisha Bank inasomeka si chini ya 400B
Mkuu Niamini mimi Kombe La Dunia 2006 lilikuwa moto zaidi ya moto wenyewe...hapa miamba wote wa Soka walikua ndiyo wanamalizia malizia kustaafu soccer....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.