Recent content by mlugaruga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa wanafunzi chuo cha St Joseph kufukuzwa chuo kwa kusema ukweli wizarani

    Aisee nimependa sana ulivyo lichambua jambo na likaeleweka kwa Mapana zaidi kwa kutumia sentensi chache, M/MUNGU akuruzuku ufanikiwe maana una uwezo mkubwa kuliko kawaida
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mliosomea/mnaosomea India njooni hapa mumshauri huyu

    Ajitahidi afate kilichompeleka maana akijaribu kuingia mahusiano na watu wa kule kiukweli tutampoteza awe wa kike au wakiume Kuna kijana mmoja alijiingiza kimahusiano na binti wa kihindi kilichomtokea alirudishwa maiti Pia aiweke akili yake sawa kukubaliana na ubaguzi wa rangi haswa kwa sisi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Changamkia fursa ya helping hands international H2i

    Nataka nijiunge na mtandao wenu pendwa niweze faidika
  4. M

    JamiiForums Tanzania Picha:Pacha wa Lionel Messi aonekana "Tehran" Iran,

    Aanze nae kusakata kabumbu huenda akasajiliwa na timu pinzani anayochezea Messi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Namchukia Magufuli from bottom of my heart

    Kaza buti, naamini soon njia ya mafanikio itaanza kuonekana jaribu kuomba tenah mwezi wa sita you need know unaweza kupata Usitishwe na maamuzi ya watu ambao wamejaa unafiki tu even hata kwenye mambo ya msingi We pray for you dude
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa lazima viwe na ofisi nzuri, hebu ona hii mifano

    Tuna safari ndefu sana za kuufanya mlima kilimanjaro ufanane na milima ya usambaa ?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kozi ya kuchagua kwa undergraduate mwaka wa masomo (2017/2018)

    Nina kijana wangu aliyehitimu form six mwaka Jana anataka asome degree kati ya pharmacy & medical laboratory kwa uzoefu wenu degree ipi itamfaa haswa ukizingatia upatikanaji wa ajira katika sehemu mbili husika
  8. M

    JamiiForums Tanzania Takwimu haziongopi mwisho umekaribia.

    Siasa Ni maisha yetu ya kila siku ikiwa amechagua siasa kama sehemu ya kupatia kipato anahitaji aogopwe kama ukoma maana ataharibu kila kitu ili aweze kufaidika ndo maana anawaza uchaguzi mda wa kufanya kazi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Takwimu haziongopi mwisho umekaribia.

    Nadhani bado ni kijana mdogo ambaye unajibu kwa mihemko unacho takiwa kujua kuna mda wa uchaguzi na mda wa maendeleo kupitia chama kilichoshinda baada ya uchaguzi na vyote ni muhimu katika mda wake
  10. M

    JamiiForums Tanzania Takwimu haziongopi mwisho umekaribia.

    Ni wazi bado wewe ni mchanga katika siasa kumbuka hakuna uongozi ambao utakubalika na watu wote kaa ukijua tunachohitaji katika uchaguzi ni kupata alieshinda na kuitumia ilani yake vizuri ili tuweze kupata maendeleo endelevu na sio kuendekeza tenah kampeni jambo hilo linaweza kutibua mfumo mzima...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Takwimu haziongopi mwisho umekaribia.

    Unaonekana ni kijana mdogo ambaye bado hujaielewa siasa vizuri unaishi kwa kuchukua maneno machache ya siasa Ni kili kuwa uchaguzi ndo unaoaffect maisha baada ya uchaguzi lakini baada ya uchaguzi tu natakiwa tubase katika ilani ya chama kilichoshinda ili nchi iweze kupiga hatua na sio...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Takwimu haziongopi mwisho umekaribia.

    Fanya kazi unawaza uchaguzi wa siku moja ,siasa afrika kweli ni hasara baada ya kujenga nchi wewe 2017 unaota uchaguzi
  13. M

    JamiiForums Tanzania BETTING: Fursa sahihi kwa watu makini

    Somo zuri liingizwe kwenye mtaala wa kufundishia
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa kujitolea amepatikana

    Nadhani kwenye shule za kata za serikali utapata kwa kujitolea
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwako Comrade Nape siku ya kufanya mkutano jimboni Mtama

    Ukiona mwana chama kile mwenye umri kama mimi anakitetea sana chama kile ilihali hana chochote ujue basi ana matatizo ya akili ama kaishia middle school tu ama vyote kwa pamoja Nashukuru chama hichi kunipa vyote nilivyonavyo huku wengne wakibakia washabiki
Back
Top Bottom