utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,812
Huu ni mfano mdogo tu wa vyama viwili vikubwa vya siasa hapa Tanzania. Ni aibu kwa chama kuwa na banda la kuku badala ya ofisi. Ofisi inaleta utambusho na alama ya heshima kwa taasisi husika.
Huu ni mfano mdogo tu wa vyama viwili vikubwa vya siasa hapa Tanzania. Ni aibu kwa chama kuwa na banda la kuku badala ya ofisi. Ofisi inaleta utambusho na alama ya heshima kwa taasisi husika.
Huu mfano wako kwakweli hauoani na muktadha wa mleta madaUnaweza kuwa na gari nzuri lakini ukawa hujui kuendesha.
CCM inatumia ofisi za Umma ....
Huo ni upuuzi huwezi linganisha ofisi ya ccm na ya chadema
Ofisi za CCM zilijengwa na babu zetu kwa kodi zao, afadhali hata hao wameweza kununua hata hiyo, tena wanatetea wananchi vizuri sana.Huu mfano wako kwakweli hauoani na muktadha wa mleta mada
Nyumba ni hitaji la lazima kuliko gari, gari ni sehemu ya anasa tu
Muhimu vyama vya siasa hasa vinavyopata ruzuku vije na mkakati wa kujenga ofc yenye hadhi.....hata kama sio maghorofa.