Takwimu haziongopi mwisho umekaribia.

Takwimu haziongopi mwisho umekaribia.

Uchaguzi wa siku mmoja ndiyo utakaoleta viongozi wa miaka mitano na ndiyo watakaoathiri maisha yetu ama kwa njia chanya au kwa njia hasi! Halafu mbona CCM ndiyo wao kila siku wanasema kwamba mwaka 2020 John Magufuli lazima atashinda tena!
Unaonekana ni kijana mdogo ambaye bado hujaielewa siasa vizuri unaishi kwa kuchukua maneno machache ya siasa
Ni kili kuwa uchaguzi ndo unaoaffect maisha baada ya uchaguzi lakini baada ya uchaguzi tu natakiwa tubase katika ilani ya chama kilichoshinda ili nchi iweze kupiga hatua na sio kuendekeza bla bla za vyama ambavyo vinapania uchaguzi unaofuata
 
Takwimu za uchaguzi 2005 sio sahihi....ebu rejea tena mh rais dr.kikwete alipata kura asilimia ngapi 2005
 
Hangaikia maisha yako sisi wengine ya kwetu yamenyooka tunacho hitaji sasa ni uongozi uliowekwa na watu kwa asilimia mia. Hatutaki magoli ya mkono. Tunahitaji siasa safi siyo kutishana bastola na mibinduki.
Ni wazi bado wewe ni mchanga katika siasa kumbuka hakuna uongozi ambao utakubalika na watu wote kaa ukijua tunachohitaji katika uchaguzi ni kupata alieshinda na kuitumia ilani yake vizuri ili tuweze kupata maendeleo endelevu na sio kuendekeza tenah kampeni jambo hilo linaweza kutibua mfumo mzima wa maendeleo kwa watu kama nyie kujikita ktk siasa ili hali ni nguvu ya taifa kujenga nchi
 
Wewe unamwambia mwenzio afanye kazi wakati wewe akili yako tu haifanyi kazi?

Uchaguzi wa siku moja una athari kwa siku zaidi ya moja kwa wananchi hivyo ni kitu kisicho na mipaka kukizungumzia.

Unadhani waliompigia kura Sizonje na wanaisoma namba sasa wako katika hali gani? Jinamizi lile la kumpa kura linawaandama kila siku mchana na usiku.

Huoni kuwa huo uchaguzi wa siku moja umeathiri maisha ya watu!?

Tumia akili kabla hujaandika.
Nadhani bado ni kijana mdogo ambaye unajibu kwa mihemko unacho takiwa kujua kuna mda wa uchaguzi na mda wa maendeleo kupitia chama kilichoshinda baada ya uchaguzi na vyote ni muhimu katika mda wake
 
Amechagua kazi ya siasa.
Siasa Ni maisha yetu ya kila siku ikiwa amechagua siasa kama sehemu ya kupatia kipato anahitaji aogopwe kama ukoma maana ataharibu kila kitu ili aweze kufaidika ndo maana anawaza uchaguzi mda wa kufanya kazi
 
Hivi nyie watu wa CCM ni lazima muongope kwenye kila jambo. Ukisikia asilimia maana yake ni kwamba hizo takwimu zinatokana na mia. Sasa 57 inayotokana na mia si lazima inayobakia ni 43? sasa ukitaka kupata tofauti unafanyaje kama si kutoa 57 kwa 43? Sasa 57 toa 43 unapata 20 na siyo 14? Tofauti kati ya CCM na wapinzani wake mwaka 2015 haikuwa 20% bali 14%

CCM ilishinda kwa tofauti ya asilimia ngapi? Na kama unataka kuongelea kuhusu Asilimia ulipaswa pia useme chadema + Upinzani walipata Asilimia ngapi kama ukitoa na 100%
 
Fanya kazi unawaza uchaguzi wa siku moja ,siasa afrika kweli ni hasara baada ya kujenga nchi wewe 2017 unaota uchaguzi
Na si hajabu ukakuta mtu wa hivi ndo anategemewa alete mkate mezani badala ya kujikita katika kuhudumia familia yeye anawaza uchaguzi
 
CCM ilishinda kwa tofauti ya asilimia ngapi? Na kama unataka kuongelea kuhusu Asilimia ulipaswa pia useme chadema + Upinzani walipata Asilimia ngapi kama ukitoa na 100%
Sasa wewe CCM ilipewa 57% maana yake vyama vingine vilipata 43% katika 100%. Sasa utasemaje tofauti ilikuwa ni asilimia 20? Au kwenye chaguzi chama chenu huwa kinatumia 106% katika kukokotoa takwimu za Uchaguzi husika?
 
Vyama vingine gani? Hapa naongelea CCM vs ukawa ambapo CCM iliishinda ukawa kwa tofauti ya kura karibia milioni 2 au ~ 20%!
 
Habari wanajamvi!
Naam! Ndivyo unavyo weza kuhitimisha kusema mwisho wa enzi wa CCM kutawala umekaribia kama ukitafsiri takwimu hizi mwelekeo wake. Hakika muda siyo mrefu matarajio ya watanzania yatatimia.Angalia kwa makini ninacho maanisha nikiziangalia takimu hizi toka uchaguzi wa vyama Vingi unipolar anza mwaka1995!
. 1995 CCM ilipata asilimia 85 ya kura zote za urais
. 2000 CCM ikapata asilimia 80 ya kura zote za urais
. 2005 CCM ikapata asilimia 75 ya kura zote za urais
. 2010 CCM ikapata asilimia 64 ya kura zote za urais
.2015 CCM ikapata asilimia 57 ya kura zote za urais.
Ukiangalia takwimu hizi ni dhahiri upinzani unazidi kuimarika kisiasa, kiuchumi, kiuzoefu na kimbinu.Uchaguzi wa mwaka 2020 upinzani hususan UKAWA mtu yeyote atakae pambana na Mheshimiwa Magufuli lazima UKAWA WASHINDE! Sababu ni nyingi sana lakini kubwa ni hizi zifuatazo.
Kwa kipindi kifupi alicho tawala Magufuli hakika wananchi wamekatishwa tamaa na namna anavyo endesha Nchi. Uchumi umeyumba sana kiasi kwamba watu wa chini wamekutana na ugumu wa maisha usio wa kawaida.Akiendelea hivi mpaka 2020, upinzani wanachukua Nchi saa nne asubihi.
Magufuli ni mbinafu na mwenye upendeleo ulio wakera watu wengi. Hakika unaweza kusema hii ni zama ya wakristo! Katika teuzi zake, katika kila kumi anao wateua watu 7-9 ni wao! Mbaya zaidi ni wasukuma au kabila jingine lakini wa kanda ile pendwa. Jambo hili pia limewaudhi wengi hata wakristo wenyewe.
Magufuli hashauriki! Anacho taka yeye ndicho hufanyika hata kama kitaleta madhara kwa Chama, serikali au Nchi kwa ujumla.mfano mpango wake wa kutaka kuzuia vyuo vikuu vya binafsi na vya mashiriika ya kidini siyo tu utapunguza ajira lakini pia una Malengo yenye mashaka.Mpango huu utainyima CCM kura nyingi.
Mipango mingi miovu hajapata kuikemea hivyo kuzua minong'ono kwa huenda ina baraka zake.Lipumba kupewa fedha ya CUF wakati siyo kiongozi na hajashitakiwa inaleta maswali mengi kuliko majibu. Kupotea kwa Ben Saanane na serikali kukataa kuleta wataalamu waliobobea kuja kumtafuta pia kunaacha viulizo vingi.
Binafsi naomba aendelee hivi hivi ili mpango wa Mungu utimie 2020
Tatizo umetumia siasa kuhubiri chuki za kidini na kikanda. Ninamashaka kama si wa bonde la mto rufiji
 
Ukiwa Muongo uwe na Kumbukumbu!

Mwaka 1995 kulikuwa na Upinzani Mkali sana na Benjamini Mkapa alipata 61.8 ya kura zote.

Mwaka 2000 Benjamin Mkapa akapata 75% ya kura zote

Jakaya Kikwete akapata 82% ya kura zote

2010 Jakaya akashuka akapata 61% ya kura zote

2015 JPM alipata 58% ya kura zote

Ukiwa unatumia takwimu za Uongo hata mawazo na hoja unazojenga unakuwa umezidhoofisha Wewe Mwenyewe!

Ungeweza kuendelea kujenga hoja yako bila ya kutumbukiza uongo!

Hakuna Uchaguzi ambao mlisema Mtashndwa kabla na Hakuna Uchaguzi ambao hamkuilaumu Tume ya Uchaguzi baada ya Uchaguzi na I hope after Election 2020 pia mtailaumu Tume na kusema 2025 ndio Mwisho wa CCM!
 
Habari wanajamvi!
Naam! Ndivyo unavyo weza kuhitimisha kusema mwisho wa enzi wa CCM kutawala umekaribia kama ukitafsiri takwimu hizi mwelekeo wake. Hakika muda siyo mrefu matarajio ya watanzania yatatimia.Angalia kwa makini ninacho maanisha nikiziangalia takimu hizi toka uchaguzi wa vyama Vingi unipolar anza mwaka1995!
. 1995 CCM ilipata asilimia 85 ya kura zote za urais
. 2000 CCM ikapata asilimia 80 ya kura zote za urais
. 2005 CCM ikapata asilimia 75 ya kura zote za urais
. 2010 CCM ikapata asilimia 64 ya kura zote za urais
.2015 CCM ikapata asilimia 57 ya kura zote za urais.
Ukiangalia takwimu hizi ni dhahiri upinzani unazidi kuimarika kisiasa, kiuchumi, kiuzoefu na kimbinu.Uchaguzi wa mwaka 2020 upinzani hususan UKAWA mtu yeyote atakae pambana na Mheshimiwa Magufuli lazima UKAWA WASHINDE! Sababu ni nyingi sana lakini kubwa ni hizi zifuatazo.
Kwa kipindi kifupi alicho tawala Magufuli hakika wananchi wamekatishwa tamaa na namna anavyo endesha Nchi. Uchumi umeyumba sana kiasi kwamba watu wa chini wamekutana na ugumu wa maisha usio wa kawaida.Akiendelea hivi mpaka 2020, upinzani wanachukua Nchi saa nne asubihi.
Magufuli ni mbinafu na mwenye upendeleo ulio wakera watu wengi. Hakika unaweza kusema hii ni zama ya wakristo! Katika teuzi zake, katika kila kumi anao wateua watu 7-9 ni wao! Mbaya zaidi ni wasukuma au kabila jingine lakini wa kanda ile pendwa. Jambo hili pia limewaudhi wengi hata wakristo wenyewe.
Magufuli hashauriki! Anacho taka yeye ndicho hufanyika hata kama kitaleta madhara kwa Chama, serikali au Nchi kwa ujumla.mfano mpango wake wa kutaka kuzuia vyuo vikuu vya binafsi na vya mashiriika ya kidini siyo tu utapunguza ajira lakini pia una Malengo yenye mashaka.Mpango huu utainyima CCM kura nyingi.
Mipango mingi miovu hajapata kuikemea hivyo kuzua minong'ono kwa huenda ina baraka zake.Lipumba kupewa fedha ya CUF wakati siyo kiongozi na hajashitakiwa inaleta maswali mengi kuliko majibu. Kupotea kwa Ben Saanane na serikali kukataa kuleta wataalamu waliobobea kuja kumtafuta pia kunaacha viulizo vingi.
Binafsi naomba aendelee hivi hivi ili mpango wa Mungu utimie 2020
Siku hizi hakuna viroba ,endelea kuota tu,wapinzani wana kipi cha kujivunia hadi wachaguliwe,nani atawachagua wauza madawa,nani atawachagua akina Cameron,nani atawachagua mafisadi yaliyokubuhu,jidanganyeni kuwa mtashinda 2020,hapo ndipo mtapigwa na mshangao
 
Uchaguzi wa siku mmoja ndiyo utakaoleta viongozi wa miaka mitano na ndiyo watakaoathiri maisha yetu ama kwa njia chanya au kwa njia hasi! Halafu mbona CCM ndiyo wao kila siku wanasema kwamba mwaka 2020 John Magufuli lazima atashinda tena!
Hahahah hamkawi kusema mmeibiwa kura leta za Zanzibar pia kama zina reflect reality
..
 
Back
Top Bottom