Messirappa
Reza parastesh raia wa Iran anayepatikana Tehran amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii mara baada ya picha na muonekano wake kufanana na mwanasoka anayechezea timu ya Barcelona na Albacete Lionel Messi.
Je amefanana kweli na Messi au porojo tu
Haha kwa hiyo nayeye akamate fursa..?Messirappa
Hahahaaa,, fursa kwake…!!Haha kwa hiyo nayeye akamate fursa..?