Ipo hivi jamaa yangu anaishi na mke ambaye tayari Wamejaaliwa kupata watoto wawili ,sasa anasema mwaka jana waliingia kwenye mgogoro mkubwa baada ya kugundua mke wake alikuwa akimsaliti japo huo usaliti ulitokea kipindi cha nyuma hili suala limefika pabaya jamaa aliamua kumufukuza waifu...
Huyu demu anasema kabla ya kwenda chuo ndoto yake ilikuwa ni kuolewa na mwanaume ambaye walipendana sana na wakati huo Huyo demu alikua anajishughulisha na biashara ya miamala
Sasa anasema wazazi wake walimshauri asome, kitu ambacho kwa upande wake haikua ndoto yake. Tena anasema yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.