farfat
JF-Expert Member
- Jun 10, 2021
- 383
- 707
Swali langu kwenu linahitaji sana kibu tafadhali mnijibu hasa sisi watu weusi ndio nawalenga humu kama wewe ni mzungu au mwarabu pita hivi Uzi hatukai na kama wewe ni shoga pita kushoto usitie neno hapa.🥺
Tunaanza na mada hivi kwanini hakuna mtume au nabii mweusi aliezungumziwa kwenye vitabu vitakatifu iwe biblia au Quran
Je sisi watu weusi hatufai kuwa manabii au sisi watu weusi tulichelewa kuumbwa au sisi watu weusi mungu aliamua tuwe watu wa kawaida na bendera fata upepo.. naomba kuwakilisha sema chochote hakuna kitu kinaitwa kufuru na sio kweli kuwa mungu anaweza kuwachoma moto watoto wake wa kuwaumba yeye mwenyewe