Mtoto wa pili ni wake kabisa Ila wa kwanza amepigwa mchana kweupeMwambie chama Cha wazee wa itifaki tumeshauri apige nyama chini, pia apime DNA watoto wote.. kama ni mmoja wake aendelee kuhudumia damu yake tu! hakuna kuremba mwandiko hapa kutafuta sifa za Ke.
Hata kama ni mimi wewe toa ushauri full stopNa huyo mwanaume ni ww.
Wamesha Sema tayari na kibayazaidi wanasema ni story ya kutunga sijui kwanini watu hatuaminianiWatakuja kusema huyo jamaa yako ni wewe,
Nimesema watakuja kusema.
probabily na nashauri jamaa aondoke amuachie nyumba mwanamke.Watakuja kusema huyo jamaa yako ni wewe,
Nimesema watakuja kusema.