wazazi wanayo nafasi ya kusema endapo wana sababu zenye mashiko so tu sababu wazazi ndo hata kama sababu sio za msingi wapinge mwisho wa siku wanandoa ndio watakaoenda kuishi pamoja pia lazima ujue kuna vitu ambavyo hata wazazi hawawezi kukufanyia isipokuwa mwenzi wako hata kama wao ndo...
CV sio issue wala fulushi la vyeti vya madegree swala ni kwamba ni kwa jinsi gani mtu anafahamu mambo na anawezaje kuyasimamia mambo anayofahamu bila woga ni sio kutuletea mambo ya CV
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.