Ninaomba kutoka kwa mtu anayeaminika anipe mawasiliano ya simu ya Mbowe. Niliomba kwa tumaini Makene lakini sikupata jibu hadi sasa ila ninaamini ni kwa sababu amekuwa busy.
Ninajambo la muhimu la kuwashauri lakini siwezi kuliweka hapa mtandaoni kwa hofu ya panya wezi ccm. Wananusa, wanakwiba, halafu kutumia hawajui wanaishia kuboronga na hivyo kuharibu mipango na malengo mazuri.
Ccm wamekuwa wakiiba mikakati ya wapinzani na kuishia kuiharibu ajili si viwango vyao. Sasa nina masuala makubwa ya kuwashauri UKAWA lakini siyo hadharani na ukoo wa panya wakisikia. Ninaimani mwenye nazo ila anayeaminika, atanipm. Wateka nyara wa mawasiliano samahani sana kaeni mbali na hili haliwahusu.