Kudisco chuo na kupata usaili upya

Kuna option moja tu,nayo ni kuanza 1st year upya..mwakani na usohangaike kwenda bodi kuzui mkopo kama ulikuwa nao maana tayari chuo kitakuwa kimepeleka majina la continuing students na discolifides pia...pole sana na usikate tamaa

je kama nkichkua matokeo ya 1st. semcta .na kwenda nayo chuo kngne haiwezekan hyo
 
Hamna limitation unaweza kuomba nafasi ya chuo hata mwaka huu ila kupata ufanyili wa bodi ya mikopo ni mpaka urejeshe asilimia 25% ya mkopo wa awali. Ila apply kote tcu na omba mkopo na utapata ufafanuzi baada ya majina kupitishwa na bodi.
Ni uhakika kupata tena mkopo
 
Back
Top Bottom