Mke hapigwi, akipigwa kwa upande wa khanga.
Mashikolo mageni, siku nyingine kabla ya kumpandisha kwenye gari inabidi umpe darasa kwanza, hapa ndipo unapofungia mkanda, ukiona kama ajali inakuja ufanye hivi, etc.
Sasa wewe mtu hata darasa hujampa unamzaba vi kelbu?
miss neddy nitafsirie hapo tafadhalishukuru gari ya watu haikupata madhara cha kuazima hakistiri masaburi
Kupigwa kwa upande wa khanga ilikuwa ni zamani sana cku hizi wanapigwa kwa funguo za magari
miss neddy nitafsirie hapo tafadhali
Unajua maana ya kelbu wewe?
Unajua maana ya kelbu wewe?
Kama kuna nyingine tofauti na ninayoijua please nifahamishe
ilitakiwa akubinye pmb hadi utoe gari nje ya barabara....
ha ha ha teampopo ni hakuna kulalalala sasa akili ishachoka.
kelbu ni nini???
lugha gan hii