Recent content by mlimilwa

  1. mlimilwa

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM, Mawaziri, Askari polisi, mawakili na wanasheria wa serikali na viongozi wengine wa kiserikali; Jifunzeni kwa Hamis Kingwangwala

    hiyo kampuni ya haya mabasi nimesikia kama ya mnyarwanda mmoja.ila kama yake mwambie alichinye akapime vyuma chakavu atapata vijisent vya kumsogeza siku 2 tatu
  2. mlimilwa

    JamiiForums Tanzania Sherehe za kichawi huondoka na roho ya mtu

    mkuu mapicha yote hayo unayatoa wapi....!! hahahahahhahahahahaha....duh.!
  3. mlimilwa

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Shinyanga ataja sababu ya Dk Nchimbi kufukuzwa CCM

    mwenyekit wa chama shinyanga na wewe mchimbi kawatuma !!?
  4. mlimilwa

    JamiiForums Tanzania Kuna watu kuzaliwa hapa duniani ilikuwa ni hasara kwa MUNGU na kwa binadamu. Watu kama Putin, Hiltler, Amin, Ayatollah nk hawakupaswa kuzaliwa

    mtu kazaliwa na anasikiika dunia nzima,hata wewe wa mwanalumango unamjua.halafu unasema bora wasingezaliwa. hao akina putin ndio watu maalum wana nafasi zao kwa mungu,kwasababu wamethubutu kutengeneza na kuweka hidtoria ambayo mungu mwenyewe alishawaambia yatakayo kuja. MTU YULE ALIEZALIWA NA...
  5. mlimilwa

    JamiiForums Tanzania Mke wa mwana mieleka wa WWE Jay Uso, Takecia Fatu, adai talaka, ataka mgao wa mali pasu kwa pasu pamoja na pesa za matunzo

    EAW,, hawa jamaa wa mieleka wana dunia yao, hakuna mchezo ukiuangalia una burudani kama mieleka. mchezo hauna sheria una kanuni tu. maana hata refa akijichanganya anakula ngumi anazima anaingia refa mwingine. hatari sana.
  6. mlimilwa

    JamiiForums Tanzania Show room uchwara zaficha magari Dar

    inaonekana kuna biashara kubwa sana ya kupiga pesa kwenye tasisi zote za usalama,tabia hii ya kujiweka tayari kwa kutumia nguvu kubwa hewa ni kutumia vibaya pesa za walipa kodi.
  7. mlimilwa

    JamiiForums Tanzania CHUMA CHAKAVU: "Mishangazi" Mjini

    hiyo sio ikweta mkuu,hiyo ni HAMUZ. hahahahahahahahahahahahaha......
  8. mlimilwa

    JamiiForums Tanzania CHUMA CHAKAVU: "Mishangazi" Mjini

    lishangazi lenyewe kama ndio hilo duh....!! hatari sana mkuu.
  9. mlimilwa

    JamiiForums Tanzania Ningependa mchana huu chakula hiki anipikie Seran

    kumbe na wewe muongeaji hivi mkuu...!! hahahahahahahahahahha.........
  10. mlimilwa

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinakufanya utafute hela kilasiku bila kuchoka ?

    Kutafuta pesa/maisha ni vita. vita vitasabishwa na mwanamke na njaa. kungekua hakuna kiumbe mwanamke usumbufu wa kutafuta pesa usingekuwepo. VITA ZOOTE NUNIANI CHANZO MWANAMKE NA NJAA. VINGINE ZIADA TU.
  11. mlimilwa

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania tukisubiri Mvua, China wao wanajenga mito mikubwa kubadilisha Uchumi

    mzee wa ubwabwa alisha waambia,akiingia ikulu ataifikisha bahari dodoma hamkumuelewa. basi nyie endeleeni kulalamika hivyohivyo na ccm lenu.
  12. mlimilwa

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna faida gani kuzaa watoto hapa duniani? Mimi naona hakuna faida, ni kuletana kwenye shida na matatizo, pia kujiongezea majukumu tu

    hahhahahahahahahahahahhahahhhahhha........ nimecheka sana,maana umezungumza kwa uchungu na hisia kali . unaakili nyingi sana hadi zimekuzidi mkuu. maswali yako haya yaweke kwenye kumbukumbu muhimu kabisa halafu ukifika umri ws miaka 60 hivi uyasome.
  13. mlimilwa

    JamiiForums Tanzania Bill Gates: Tujiandae litakuja Gonjwa kubwa zaidi la mlipuko kuliko Corona

    Kama ID yako unavyojiita wewe ndio ulivyo mkuu. mnamo miaka ya 2000 huyuhuyo billgate aliiambia BBC kua wataalamu wao wanajalibu kutengeneza kizazi kipya kisichotawalika kilahi. hadi leo tunaona kizazi cha kuanzia miaka hiyo kilivyo. ni kizazi kisicho ambilika,kizazi hiki ukikikuta kinafanya...
  14. mlimilwa

    JamiiForums Tanzania KERO Stendi Ya Basi Msamvu Morogoro inalipisha pesa ya kuingia hata kama una tiketi

    Sio msamvu tu mkuu..! nane 8 dodoma pia. shida iko pale.
  15. mlimilwa

    JamiiForums Tanzania Buraq Mnyama wa ajabu wa Kislamu

    Tatizo ufafanuzi wako umehalibu ulipowaingiza akina YOHANA kwenye hoja yako.kina YOHANA wapo kwenye aganojipya la PAULO .paulo kaandika kitabu ambavyo kipindi cha yesu yeye hakuwepo.paulo ni tapeli na hivyo agano jipya ni batili na ndio linalofanya migongano ya kidini duniani kote. AGANOJIPYA LA...
Back
Top Bottom