mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,950
- 58,438
Masjid maana yake ni mahali pa kusalia sio lazma liwe jengo.
Kwa hyo hoja yako kuwa hekalu la suleyman lilibomolewa na hapakuwa na msikiti ila Hilo eneo lilikuwepo na hapo ndipo mtume alikutana na mitume wenzie na manabii