Recent content by Mlimani health center

  1. Mlimani health center

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, nyie mna-deal vipi na msongo wa mawazo?

    Maisha lwa ujumla mpaka inafika muda mtu haaoni thamani ya mausha Kumbe nyie mlirudiana tena khee
  2. Mlimani health center

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, nyie mna-deal vipi na msongo wa mawazo?

    Ukiwa na msongo hata usingizi hupati
  3. Mlimani health center

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, nyie mna-deal vipi na msongo wa mawazo?

    Maisha ya siku hizi yana changamoto nyingi—kazi, biashara, familia, masomo na mipango ya maisha. Kila mtu ana namna yake ya kupambana na msongo. Tushirikishane uzoefu. Huenda ushauri wako ukawa msaada mkubwa kwa mtu mwingine anayepitia kipindi kigumu.
  4. Mlimani health center

    JamiiForums Tanzania Kuna somo kubwa nimejifunza

    Miaka michache iliyopita kulikuwa na dada mmoja ambaye nilikuwa namfahamu kwa mbali. Alikuwa mfanyabiashara. Kwenye mitandao ya kijamii alikuwa anaonekana kuishi maisha ambayo wengi walikuwa wanayatamani. Mara vacation, hoteli za kifahari, simu za gharama, shopping za kila mara. Ukiangalia...
  5. Mlimani health center

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Uzi bila picha ni kazi bure
  6. Mlimani health center

    JamiiForums Tanzania SoC04 "Kuboresha Huduma za Afya Tanzania: Mikakati ya Kuimarisha Utendaji wa Manesi na Kurejesha Imani ya Umma"

    Utangulizi: Katika Tanzania, huduma za afya zinaendelea kuwa muhimu katika kuboresha ustawi na maendeleo ya jamii. Hospitali za umma zinachukua jukumu kubwa katika kutoa huduma hizi kwa wananchi, na manesi wanashikilia nafasi muhimu katika utoaji wa huduma za afya kwa ujumla. Hata hivyo, katika...
  7. Mlimani health center

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi kupata elimu kumechangia uhaba wa ajira

    Suala la ukosefu wa ajira Tanzania ni matokeo ya kazi nzuri iliyofanywa na chama cha mapinduzi ya kuboresha elimu ili vijana wengi wapate elimu” FAKII LULANDALA – KATIBU MKUU UVCCM TAIFA. Kuhusu malalamiko ya vijana kuwa mikopo inayotolewa na halmashauri kwa ajili ya vijana inatolewa kwa...
  8. Mlimani health center

    JamiiForums Tanzania Je, ulifika Third floor(30s) bila kuwa na familia? Hali ilikuwaje?

    30 huna mtoto,pole sana ila kwa mwanamke kuzaa 30plus au 35 plus ni risky my dear
  9. Mlimani health center

    JamiiForums Tanzania Kuliwa na kuachwa ndicho kilio cha wadada wengi

    Hii id ipo umu since 2014 means ni mtu mzima uyu anatype nonsense [emoji3][emoji3]wajinga nao huzeeka
  10. Mlimani health center

    JamiiForums Tanzania Loving you Mahondaw

    Hii comment ianzishiwe uzi....itakimbiza
  11. Mlimani health center

    JamiiForums Tanzania Loving you Mahondaw

    800
  12. Mlimani health center

    JamiiForums Tanzania Loving you Mahondaw

    Wapi wewe wakat bwana ake antonia alirud nchini ikabid penz life kwanza naona msoja kasepa tena penz limerud Ila ni kama uyo bwana smart uchum wake uko njema sana Wakaka wenzangu money can buy happiness
  13. Mlimani health center

    JamiiForums Tanzania Loving you Mahondaw

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  14. Mlimani health center

    JamiiForums Tanzania Loving you Mahondaw

    Tutaweka wapi sura zetu wambea..kumbe wamerudiana
Back
Top Bottom