Recent content by Mlendamboga

  1. Mlendamboga

    KERO Walimu ajira mpya Chato tokea tumeripoti kazini hatujapata pesa ya kujikimu

    Acha ujinga umepigika sana duniani Leo umepata ajira siku mbili malalamiko!
  2. Mlendamboga

    Natafuta Mbolea ya Boron

    Mbolea ya Boron iwe ya maji, au kwenye mifuko tafadhari
  3. Mlendamboga

    SoC04 Uraibu wa michezo ya bahati nasibu

    hahahaaaaa nimepiga milion 43juzi kati kasheshe ipo kwenye kuzitoa zote, kila siku unatoa milioni 3 mafala sana hawa jamaa, nikajikuta nacheza tena nikaliwa karibu 10m ila zilizopona nimeopoa kwa siku 10 na nimefanyia kazi ya maana aisee hata kama wanatutafunaga nimewalamba kwenye zile jackport...
  4. Mlendamboga

    Uliza jambo lolote kuhusu uskauti, utapata majibu sahihi hapa

    Je wapo humu walioshiriki jambolee za kimataifa? kuna anayejua mose code humu, manake scout ni lifani pana sana , nikiwa Royal nilishasafiri sana Duniani! On my honnor, i will do my best to do my duty, to god and my country.....
  5. Mlendamboga

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Nilikuwa na deni la Songesha 263,038 ambalo nimekopa dakika zisizozidi 200 nikawa nimeingizwa 2,700,000 lakini zimekatwa 626,000 kama malipo ya songesha na makato! nahitaji ufafanuzi
  6. Mlendamboga

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Nilikuwa na deni la Songesha 263,038 ambalo nimekopa dakika zisizozidi 200 nikawa nimeingizwa 2,700,000 lakini zimekatwa 626,000 kama malipo ya songesha na makato! nahitaji ufafanuzi
  7. Mlendamboga

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mzee wa chuo cha Mipango hapo chuo kitabu chake kina mashairi na tenzi za rohonu kishenzi hasa ngazi ya Masters!!! Mchakamchaka wake si wa kitoto
  8. Mlendamboga

    Kuiita "Pesa" hela ni kuikosea adabu itakuadhibu vibaya sana

    Heller ni jina lililotumika na wajerumani kwenye sarafu zao zilizotumika Tanganyika na makoloni yake miaka hiyo wakitawala, hivyo waswahili tukamaanisha fedha yoyote ni hela, hivyo hawajakosea hakuna tofauti kati ya fedha na hela!!!
  9. Mlendamboga

    Waliochelewa kuripoti JKT wakataliwa kupokelewa

    Wahitimu wa kidato cha sita waliochelewa kuripoti kambini tarehe 11/6/2023 wamezuiwa kuripoti na kuungana na wenzao. Zaidi ya vijana 150 katika kambi ya JKT Mafinga wamerejeshwa wakati wakiripoti jana 12/6/2023 siku moja baada ya tarehe ya mwisho. Kwa wale waliofika jana jioni walipewa hifadhi...
  10. Mlendamboga

    Wizara ya Afya Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Salaam Kuna changamoto ya huduma za malipo ya Bima ya afya GEPG na malipo mengine ya serikali kupitia mawakala inaonyesha hakuna commission wanayopata kwa kupokea na kuwasilisha benki malipo hayo, kinachojitokeza ni kwamba mawakala wamekuwa wanakataa kupokea fedha kwa mteja ili kumwezesha apate...
  11. Mlendamboga

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    M Mwamba nimetupia hapo Twenty!!! kazi iendelee
  12. Mlendamboga

    Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

    pole sana kwa kuwa hospitalized
  13. Mlendamboga

    Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

    hamna kitu jana nimeambulia nikiwa church zaidi ya kusimama kwenda kutoa sadaka manake kila inapoishia unakutana na kitu kinaita tafuta inayoendelea!!!! da aisee mwamba umetuwakilisha wanaume ukanda wa afrika mashariki!!!!
  14. Mlendamboga

    Mkasa: Wema ni akiba, usiache kutenda wema

    Katika story ambazo nimezisoma mfululizo hadi nikiwa kanisani nachukia kusikia tusimame!!! hahahaaaaa yaaani nimetulia kwenye benchi kama nasoma biblia kumbe nasoma story hii kweli watu mna mikasa aisee!!!!
Back
Top Bottom