Recent content by mlemba

  1. M

    James Hadley Chase, Mfu anayeishi

    Mkubwa p/se naomba unitumie pia hizo soft copy za James hardly chase
  2. M

    Movie Reviews

    Salama bro naomba na mimi navigation series ya woman of steel tafadhali
  3. M

    Woman of steel

    Sijafanikiwa aisee ,ebu ongeza maelekezo, nimejaribu Sana lakini bila mafanikio.
  4. M

    Movie Reviews

    Jamani naomba msaada wa kupata sinema inaitwa woman of steel .maelekezo jamani .iko wqpi ?
  5. M

    Woman of steel

    Jamani washika dau ni matumaini yangu kwamba nyote humu ndani mko sawa, Namba msaada jamani namna ya kupata sinema yenye jina : woman of steel ya America kusini , natanguliza shukurani kwa atakaye nisaidia kupata. Shukurani
  6. M

    Kila mwanamke ayajue haya akiwa ndani ya ndoa

    Hahahaha Safi sana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Ipi ni njia nzuri: Kujitawaza kwa kutumia Maji au Toilet Paper/tissue paper?

    Usidanganywe Kabisa maji ndiyo safi na salama kabisa jamani. Nawasilisha [emoji108]
  8. M

    Sababu zinazonifanya nisimpende Mungu

    HILO SIYO FUNDISHO LA BIBILIA:- Kwani biblia inafundisha wazi wazi kwamba hakuna moto wa mateso ambapo mtu mwovu huteswa milele Nitatoa majibu baadae kidogo Asante
  9. M

    LAP TOP GANI NI NZURI KULIKO ZOTE

    Nunua MacBook Air
Back
Top Bottom