Bedner Member Apr 22, 2015 21 2 May 20, 2016 #1 Naombeni ushauri juu ya hii kitu coz nataka kununua LAP TOP ila cjajua ni zipi nzuri kuliko na yenye sauti zaidi bila kuweka spika za nje
Naombeni ushauri juu ya hii kitu coz nataka kununua LAP TOP ila cjajua ni zipi nzuri kuliko na yenye sauti zaidi bila kuweka spika za nje
souljah meditater JF-Expert Member Oct 15, 2012 2,146 2,097 May 20, 2016 #4 Ka shida yako ni sauti kubwa nunua lap top za kichina yaani zina sub woffer ndani kwa ndani