Recent content by Mlawa Zahir

  1. M

    Mawaziri 7 wabunge 70 wa CCM kujiunga CHADEMA!

    chadema wanatafuta Sifa mbinu yao hiyo ya kizee kabisa mwenye akili aambiwi tazama na kamwe mwenye akili timamu hawezi kuhamia chadema,,chadema wanahamia wenye akili mbovu za kushikiwa kwa kijana mwenye akili kamwe hawezi kwenda kwa wachaga
  2. M

    Chadema inapendwa balaa!

    hakika CCM inapendwa sana na nakuhakikishia wanaipenda chadema ni wehu na wapenda vita chadema siyo chama cha kitaifa ni chama cha wajerumani na EU ambayo inataka kuwatumia kuua watu wasio na hatia TZ chadema ni chama cha kikabila chama cha wachache ambao hawataki wengine wapae..ccm itaongoza...
  3. M

    Kanisa katoliki mmekubali kujichafua na pesa za Lowassa?

    kanisa katoliki ndilo linaongoza kuuza Unga so siwezi kushangaa kumsapoti Lowasa kwa hela chafu za biashara haramu na hela za wananchi wa Tanzania..Mungu anajua na kamwe Lowasa hawezi kuingia Ikulu kwa msaada wa kanisa katoliki ikulu siyo mahala pa wezi wanaopata msaada na Pengo ambaye naye ana...
  4. M

    Kikwete kuondolewa uenyekiti CCM

    Walishindwa NEC wataweza sasa? Kabla Kikwete hajaondolewa Ataanza Lowasa na Chenge,Kikwete hawezi kuvuliwa uenyekiti kwa mbinu chafu za mafisadi,,ingawa Lowasa amewanunua wajumbe wa NEC na wabunge wa CCM asilimia kubwa
  5. M

    Kigogo UVCCM ahamia CHADEMA

    Ni stori ya kutunga ama kutengeneza kwa waandishi ni suala la kawaida kikubwa pesa tu ni ngumu kwa mtu mwenye akili timamu kuahamia chama cha wahuni
  6. M

    Natabiri 2012 ni mwaka wa kuizika rasmi CCM na mwisho wa JK kama mwanasiasa

    Hizo za kufa CCM ni ndoto za Alinacha,,CCM ipo na itaendelea kutawala TZ bado hakuna chama mbadala vyote vya upinzani ni ni CCM viongozi wao wote kuna siku umeona wamerejesha kadi za CCM? so wapinzani wote CCM,,halafu CCM tatizo ni Lowasa na genge lake Lowasa ameisha ambiwa na mchungaji wa...
  7. M

    Wafuatao wanampinga Lowassa ndani ya CCM kuwa mgombea urais 2015

    TZ hakuna anayemtaka Lowasa wote wanampinga Lowasa wakiwemo hata ndugu zake
  8. M

    Wafuatao wanampinga Lowassa ndani ya CCM kuwa mgombea urais 2015

    Lowasa anapinga na watz wote watoto,vijana,wazee,na hata wezi wenzake pia wanampinga,kumbukeni Lowasa alipingwa pia na mzee wake aliyemzaa alitinga ofisi ndogo ya CCM kuwataka Mwinyi wakiwa rais wakati huo asimpe cheo kwa sababu ni mwizi.
  9. M

    Tumzuie rais kuteua kwa kulipa fadhila

    Nawewe kwa kuwa baba ako amekosa nafasi unaanza majungu kama baba ako akiteuliwa unasema hayo ama kwa kuwa huenda akakosa unaleta majungu
  10. M

    Mwenyekiti NEC ni Shemeji wa Lowassa - Janga kubwa sana

    hao wote wanaoposti hizi posti feki ni watu wa karibu na Lowasa kamwe hatudanganyiki Lowasa hawezi kuwa rais wa taifa hili hata kama mkikesha Nigeria na kwa maaskofu wote
  11. M

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    hao ni ngumu kuwa marais wote bomu hawana jipya,,tunajua mnaoposti hizi ni kanda ya kaskazini ambao tayari mmekubaliana CCM Lowasa na Slaa CDM kuwa rais bila kujali itikadi atoke kaskazin huko kaskazini ndiko kunaongoza kutoa mawaziri wakuu wengi mpaka wengine mafisadi bado mnataka tu pamoja na...
  12. M

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    hivi mnapewa nini na Lowasa pamoja na Slaa,,nawaambia kamwe hao hawawezi kuwa marais wa tanzania pamoja na kutumia vijana kuwasafisha,,hao wote wauaji,,wataua kila mtu,,hatutaki rais muuaji,,hivi wanawapa shilingi ngapi mpaka mnaposti upuuzi kama huu?
  13. M

    Lowassa adaiwa kutaka kuuawa!

    Lowasa anatafuta pa kufia,,nani amuue mtu ambaye hana mvuto tena miongoni mwa wananchi? Anamvuto kupitia vyombo vya habari kwa kuwanunua waandishi tu nje ya media hana mvuto kwa watu akafie monduli tu
  14. M

    Hawa wanamuunga mkono Lowassa ktk CCM. Nani mwingine unamjua?

    Tbc1 na staff yake yote,,william ngereja,,ezekiel maige,,sofia simba,,wakuu wa wilaya baadhi na mkuu wa mkoa mmoja,,cdm,ipp kwa sasa ingawa zamani walikuwa maadui,,na makabila yote ya kilimanjaro na arusha
  15. M

    Tanzania na hatima ya CCM

    wanajamii forum napenda kuwaasa watu ambao kwa sasa wanapiga kampeni kuhakikisha wanamsafisha Edward Lowasa..watu hawa wapo karibu kila eneo humu social media,,magazeti,,TV na radio,,tanzania tunayoitaka na CCM tunayoitaka ni kuhakikisha Edward Lowasa hateuliwi kuwa mgombea wa CCM na hafanikiwi...
Back
Top Bottom