Wafuatao wanampinga Lowassa ndani ya CCM kuwa mgombea urais 2015

Namba moja yeye Lowasa mwenyewe ajipinga kutokana na matendo yake na ufisadi alioufanya kwa nchi hii
 
Msimsahau Mwalimu Nyerere alishampinga tangu siku nyingi.
Wewe angalia usije ukachelewa...... hata wao tayari wameanza kumpinga Mwalimu Nyerere ( Baba wa Taifa) ..................Hawa jamaa wako siriaz......wana pesa..... watu na kumbuka wapiga kura wengi njaa tupu.....
'' Kushinda uchaguzi wowote ni mbinu tu'' - JK
 
Lowasa anapinga na watz wote watoto,vijana,wazee,na hata wezi wenzake pia wanampinga,kumbukeni Lowasa alipingwa pia na mzee wake aliyemzaa alitinga ofisi ndogo ya CCM kuwataka Mwinyi wakiwa rais wakati huo asimpe cheo kwa sababu ni mwizi.
 
Lowassa anapingwa na kila mtanzania muadilifu, isipokuwa wale wote aliokwisha wanunua Jussa na January wakiwapo au waale wote aliowapa matumaini ya kuwalipa fadhila atakapochaguliwa.
 
Back
Top Bottom