Natabiri 2012 ni mwaka wa kuizika rasmi CCM na mwisho wa JK kama mwanasiasa

Hyo haina ubshi baba ccm tunawazka bla sanda mwaka huu,mtoa mada iz da great thinker
 
Ikiwa kuna njia ya kuingilia matatizoni vivyo hivyo njia ya kujinasua sisi ccm tunayo, 2012 tunazaliwa upya na tunasonga mbele
 
Nakubaliana nawe 100 pasenti kwani viashirio vipo tele, kuzidi kwa hali ngumu ya maisha na kufilisika kwa serikali. Lakini hapo kwenye red kwa nini usitumie neno mbadala -- 'uchwara' kama vile RA aliivyoziita siasa anazosimamia swahiba wake?

Kweli bana watoto wamezidi matusi!
Kikwete si mwongo,ana tatizo la kutosema ukweli!
Haendesh siasa za ovyo,bali uchwara!
Hahahaha!
 
CCM ina Raisi wa Nchi,ina serikali,ina bunge na ,ina jeshi,ina polisi,ina usalama wa taifa,ina wakuu wa mikoa na wilaya,ina mahakama na tume ya uchaguzi pia ina matajiri wakubwa wenye mitaji mikubwa.Sioni siraha ya kuizika mwaka 2012 its a wishful thinking.
 
Subiri uone tutakavyoizika kirahisi ndo utatambua kuwa material/physical things are very inferior to mental and spiritual things!
 
Subiri uone tutakavyoizika kirahisi ndo utatambua kuwa material/physical things are very inferior to mental and spiritual things!
Mkuu mental and spritual things if its inplace,watanganyika hawana utamaduni huo ,ila lolote lawezekana.
 
Si kwamba nataka kushindana na yule mgonjwa wetu wa Malaria, ila tu natabiri mwaka huu tutashuhudia mazishi rasmi ya CCM pale Dodoma wakati wa Mkutano wao Mkuu wakati wa chaguzi za ndani za chama hicho cha kifisadi.

Na hapo ndiyo itakuwa mwisho wa JK na siasa zake za hovyo.

Magwanda katika ndoto za mchana kweupe.
 
Hizo za kufa CCM ni ndoto za Alinacha,,CCM ipo na itaendelea kutawala TZ bado hakuna chama mbadala vyote vya upinzani ni ni CCM viongozi wao wote kuna siku umeona wamerejesha kadi za CCM? so wapinzani wote CCM,,halafu CCM tatizo ni Lowasa na genge lake Lowasa ameisha ambiwa na mchungaji wa Nigeria kwamba kamwe hawezi kuwa rais wa tanzania ajitoe tu,na kumpa Mbowe ama Slaa urais ni sawa na kumpa Lowasa Urais,,La msingi JK amfukuze tu Lowasa bila hivyo CCM itashinda lakini kwa mbinde kama akiendelea kumchekea na kumuogopa Lowasa..CCM Tanzania bado ni ngangari na akiwafukuza wezi chama kitaendelea kuwa ngangari kinomaaaaaaaaa,,
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom