Hawa wanamuunga mkono Lowassa ktk CCM. Nani mwingine unamjua?

Katika harakati zake za kujinasua katikaa kufukuzwa uanachama wa CCM na vikao vya chama, EL ana watu ambao wapo tayari kufa nae.

Hawa ni:

Mbunge wa Kigoma Mjini mhe. Peter Serukamba,
Januari Makamba,
Karamagi Nazir,
Sofia Simba,
Kusila (m/kiti wa CCM Dom),
John Guninita (m/kiti Dar)
KAUMZA
 
1. Dr W. Peter Slaa
2. Zitto Kabwe
3. Mbowe
4. G. Lema
5. Magazeti yote isipokuwa(Dira na Raia Mwema)
6. Cameroon wa England
 
Mkuu W.J. Malechela, bora kusimama uch... hadharani lakini kwenye kweli kuliko kuvaa nguo kwenye ubatili.

Its not about EL, its about TZ, ile team ya Boys II Men ilipokuwa intact, kumbe the success lied upon EL, iliposambaratika matokeo ndio haya!.

Kwa vile kuna watu mnaanini kila mtetezi wa EL amelipwa, they are wrong!.

Kitakachomzuia EL asiwe mgombea wa CCM ni afya yake tuu, nothing else!. No one else!.

Kwani EL anaumwa naye?
 
uupuuzi....... sijui wameshakufa wangapi mafuriko dar hakuna vitendea kazi,barabara ya dar mwanza pale sekenke imeharibika vibaya imetengenezwa juzi tu na wachina....
happy new year & marry christimas
 
Na mimi nina muunga mkono LOWASA awe raisi wetu baada ya Jakaya kumaliza muda wake.
 
waanzilishi wake wasingeahidiwa Lowassa kutopewa nafasi na bado inaweza kurudi na kuivunja CCM.

- I mean Lowasa hawezi toka CCM, na hakuna Upinzani wanaomtaka, lakini wasiomtaka ndani ya CCM ni wengi pia na wanakubalika na Wananchi sana, kwamba Lowasa ana record ya Uongozi sijui ni ipi wakati Richmonduli ni tatizo lake? I mean mnaotetea lioneeni huruma hili taifa japo kidogo, hawa watu walikuwa wanachota USD 150,000 a day bila umeme na wala huruma kwa taifa! HOW CAN SOMEBODY IN HIS RIGHT MIND SUPPORT HIM I DONT GET IT!

Hapa ndio unachoka na waTZ. Mtu aliyewezesha wizi huu tunaambiwa ndiye mchapakazi anayestahili kuliongoza taifa hili, sijui ataliongoza kuelekea wapi!
 
Iwe itakavyokuwa chama cha magamba litakuwa chama cha upinzani la sivyo wajilekebishe sana, kwani yaliyotokea Malawi hayana budi kutokea hapa tz, mara akipewa EL basi atachakachua akina kingunge, wakimlazimisha ataanzisha chake haaraka nakukitangaza kama ilivyo tokea ya PNU badala ya kile kilchochukua nchi ya kenya toka kanuka ya moi, kama PhD. Slaa atapewa basi sawa lkn naonna upepo unaelekea huko kwani chichiyenumh! inamtakia mabaya bwana EL lkn kinachomsumbua hawezi toka mpaka ameshika rungu la kimasai, kuwabonda walughalugha wazee wa kukandamiza watu.
 
Pasco Lowassa ana madhambi mengi sana na hasa siasa za visasi, watu wake wa karibu wengi ni marafiki wangu wa karibu nawajua sana na ninajua sana all his games ana tatizo kubwa sana kushindwa kumnunua Makongoro.

- Halafu kilichompunguzia kura JK ni hoja ya Ufisadi, CCM leo ina unafuu kwenye kukubalika cause ilimvua Rostam, ni CCM collectivelly as Chama ilisema Lowassa hafai sasa itatumia uchawi gani kumnadi Lowassa tena kwa wananchi? Pasco CCJ Isingekufa kama waanzilishi wake wasingeahidiwa Lowassa kutopewa nafasi na bado inaweza kurudi na kuivunja CCM.

- I mean Lowasa hawezi toka CCM, na hakuna Upinzani wanaomtaka, lakini wasiomtaka ndani ya CCM ni wengi pia na wanakubalika na Wananchi sana, kwamba Lowasa ana record ya Uongozi sijui ni ipi wakati Richmonduli ni tatizo lake? I mean mnaotetea lioneeni huruma hili taifa japo kidogo, hawa watu walikuwa wanachota USD 150,000 a day bila umeme na wala huruma kwa taifa! HOW CAN SOMEBODY IN HIS RIGHT MIND SUPPORT HIM I DONT GET IT!

unatumia nguvu nyingi no...ni hivi , wa kumzuia Lowassa ije hoja ya rais anatoka visiwani au rais mwanamke..kinyume na hapo utaona watu wengi sana hawana akili kwa ku-msupport EL, tena wengine huwezi kuamini na utarudi tena kwenye long and unforgotten slogan kuwa miafrika ndivyi ilivyo

when you come to politics there is no rules of the game, kwangu mimi CCM wote akiwemo wewe ni mafisadi tu

unatapatapa wee humum hali ukijua humtaki EL ila unamtaka mwana CCM mwngine..ambaye naye ni fisadi!!! shame!!
 
Lawrence Masha,Abraham Kibanda,Salva Rweyemamu,Kubenea,babu wa Loliondo na kikombe chake,Najib Mullah mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya
 
EL anaungwa mkono na watu wengi mno. Wee angalia hw he moves people when he speaks, kwa kweli wen it matters and making tough decisions ndugu yangu hujitolea.. Nilikua shinyanga, nikamkuta akielekea mwanza, watu walikua wengi mno wakimpokea, akawa anakataa misafara isilete picha mbaya. Kama ni impact na advantage EL aliyonayo, ni hayo aliyoyatenda kwa wananchi wengi sana.
Hata misafara ya akina Bambo,Kanumba ,Ze Komedy nayo hujaza watu sembuse iwe misafara yenye kumwaga fedha
 
Pasco Lowassa ana madhambi mengi sana na hasa siasa za visasi, watu wake wa karibu wengi ni marafiki wangu wa karibu nawajua sana na ninajua sana all his games ana tatizo kubwa sana kushindwa kumnunua Makongoro.

- Halafu kilichompunguzia kura JK ni hoja ya Ufisadi, CCM leo ina unafuu kwenye kukubalika cause ilimvua Rostam, ni CCM collectivelly as Chama ilisema Lowassa hafai sasa itatumia uchawi gani kumnadi Lowassa tena kwa wananchi? Pasco CCJ Isingekufa kama waanzilishi wake wasingeahidiwa Lowassa kutopewa nafasi na bado inaweza kurudi na kuivunja CCM.

- I mean Lowasa hawezi toka CCM, na hakuna Upinzani wanaomtaka, lakini wasiomtaka ndani ya CCM ni wengi pia na wanakubalika na Wananchi sana, kwamba Lowasa ana record ya Uongozi sijui ni ipi wakati Richmonduli ni tatizo lake? I mean mnaotetea lioneeni huruma hili taifa japo kidogo, hawa watu walikuwa wanachota USD 150,000 a day bila umeme na wala huruma kwa taifa! HOW CAN SOMEBODY IN HIS RIGHT MIND SUPPORT HIM I DONT GET IT!
Mkuu W. J. Malecela, mimi huwa nakuaminia sana linapokuja suala la inside CCM, ila kumbe kuna zile za inside inside uvunguni wewe pia zinakupiga chenga!?. Hivi mpaka leo hujagundua vile vimemo vya EL kushinikiza Richmond ipewe tenda, alikuwa anafanya kwa niaba?. Hivi hujui kwa nini EL hakuhojiwa na tume ya Mwakiembe?. Ulitegemea ahojiwe amvue nguo aliyemkingia kifua?. Hivi hujui kwa nini EL aliwajibika?. Unadhani aliwajibika ili kuonyesha uwajibikaji, au aliwajibika ili kumfichia aibu mtu fulani?!. Hivi kwa nini hujiulizi kwa nini EL mpaka kesho hajasema his role kwenye Richmond Saga?!. Hasemi kwa sababu kuna mtu anamsitiri aibu ya mwaka!.

Mkuu W. J. Malecela, jee unaujua msingi wa ile kauli ya "Mimi na JK hatukukutana Barabarani"!?. Kauli hiyo ilifuatia EL kukasirishwa na vuvuzela nyie wana CCM msio elewa mambo ya ndani, mliokuwa mkizivurumisha katika dhana ya kujivua gamba!, hasira zilizidi baada ya mmoja wenu kudanyanya umma eti vuvuzela analopuliza lina ok ya JK!, EL akajiuliza, hivi inawezekana vipi, mtu umfichie aibu yake, halafu upate taarifa ati anatuma vijana wajinga wajinga kupuliza tarumbeta la Ufisadi wa Richmond!?. EL akaamua kuwa mstaarabu, kutojibisha vuvuzela kwa vuvuzela, bali akawaambia "hatukukutana barabarani".

Nakuhakikishia subiri uchaguzi wa ndani ya chama chenu mwakani, utashuhudia anguko kuu la wapuliza vuvuzela wote, na tutakutana humu humu tukumbushane!.

Ukiondoa wasiwasi kuhusu afya yake, na kama Mungu wa TB Joshua ndie Mwenyewe aliye Juu, nakushauri endelea tuu na yale mazoezi ya Rambo, Chuck Norris na Anodi Shwaziniga ili tuje tuishuhudie ile movie yako ya kuingia msituni uliotuahidi!.

Tumshutumu na kumlaumu EL kwa mengine, lakini ni la Richmond tuu, EL ni mshika pembe tuu, wakati muafaka ukifiki, mtamjua mkamua maziwa ni nani na tayari ameshatayarishiwa lile fungu la tozo!
 
unatumia nguvu nyingi no...ni hivi , wa kumzuia Lowassa ije hoja ya rais anatoka visiwani au rais mwanamke..kinyume na hapo utaona watu wengi sana hawana akili kwa ku-msupport EL, tena wengine huwezi kuamini na utarudi tena kwenye long and unforgotten slogan kuwa miafrika ndivyi ilivyo

when you come to politics there is no rules of the game, kwangu mimi CCM wote akiwemo wewe ni mafisadi tu

unatapatapa wee humum hali ukijua humtaki EL ila unamtaka mwana CCM mwingine..ambaye naye ni fisadi!!! shame!!
Mkuu Waberoya, hapa ndipo ninapokupendea, when it comes to boldness you are bold!, you just call a spade a spade!.

Kwenye zile thread za CCM kujivua gamba, nimekuwa nikuiliza kwa usafi gani CCM walionao wa kumvua gamba nani?. Niliwahi kuwaeleza jinsi CCM ilivyochokwa na imekuwa ikiendelea kuchaguliwa sio kwa kupenda, bali kwa mazoea, tena nikawaambia bahati yao Chadema haijajipanga, wala haijaonyesha publically dalili za kujipanga, labda wanajipanga kimya kimya kwa chichi chini na kuja kuibuka with a bang, mimi sijui, ila tungepata strong, firm united opposition ikasimamisha mgombea mmoja makini, CCM inapigwa chini puu!, au kubwagwa kama pakacha la samaki walio ...!.
 
unatumia nguvu nyingi no...ni hivi , wa kumzuia Lowassa ije hoja ya rais anatoka visiwani au rais mwanamke..kinyume na hapo utaona watu wengi sana hawana akili kwa ku-msupport EL, tena wengine huwezi kuamini na utarudi tena kwenye long and unforgotten slogan kuwa miafrika ndivyi ilivyo

when you come to politics there is no rules of the game, kwangu mimi CCM wote akiwemo wewe ni mafisadi tu

unatapatapa wee humum hali ukijua humtaki EL ila unamtaka mwana CCM mwngine..ambaye naye ni fisadi!!! shame!!
Hahahaha!! Waberoya thanks for this insight unajua CCM as CCM wao wanaona mabaya ya Lowassa wanafikiri wakimuondoa Lowassa inawaondolea muonekano wa ufisadi while all the fishes in the CCM basket are rotten not even a single one who is fresh lililobaki wanaendesha siasa za kuchafuana mfano wa alizokuwa akizisema Rostam "Gutter Politics".....
 
Tbc1 na staff yake yote,,william ngereja,,ezekiel maige,,sofia simba,,wakuu wa wilaya baadhi na mkuu wa mkoa mmoja,,cdm,ipp kwa sasa ingawa zamani walikuwa maadui,,na makabila yote ya kilimanjaro na arusha
 
Back
Top Bottom