Recent content by Mlavumbi wa Ukweli

  1. Mlavumbi wa Ukweli

    Naufunga mwaka nikiwa furaha ya ajabu baada ya dada yangu aliyekuwa tom boy kutiwa mimba

    Ninaamini atabadilika na kuwa na haiba ya kike. Umuombee pia ajifungue salama maana chumba cha uzalishaji kule ni nusu kifo nusu uhai.
  2. Mlavumbi wa Ukweli

    What's your favorite movie line/quote?

    I trust you but I don't trust the devil inside you. Sean Connery - Italian Job
  3. Mlavumbi wa Ukweli

    Maisha baada ya talaka

    Si arudi kwenye makanisa mengine? Mbona kazi rahisi tu? Well, in my opinion though.
  4. Mlavumbi wa Ukweli

    Girlfriend wangu kafanana sura na dada yangu

    Huwa wanasema wakati mwingi wanaume hujikuta kuvutiwa na wanawake waliofanana na dada au mama zao na wanawake huvutiwa na wanaume waliofanana na baba au kaka zao. Hata hivyo sioni ubaya wa huyo girlfriend wako kufanana na dada yako kwani duniani wawili wawili jamani
  5. Mlavumbi wa Ukweli

    Baada ya kujenga, kijiji kizima sasa kinafikia kwangu

    Zuga umepata matatizo kazini hivyo mshiko umepungua kwa kiasi kikubwa hivyo inakubidi upangishe hiyo nyumba yako na wewe ukatafute chumba kimoja sehemu nyingine kwa hiyo unawaomba wasepe.
  6. Mlavumbi wa Ukweli

    Je ikitokea uchumba umevunjika halafu wakwe hawataki rudisha mahari nifanyeje?

    Bekabundime Mhhh ngoja wajuzi waje kwani nilidhani mahari ni kati ya zile deposits ambazo ni "non refundable"
  7. Mlavumbi wa Ukweli

    Nimepata mwanamke aliyenizidi umri

    Mimi nilidhani kakupita miaka 30 kumbe 3 tu!!! Hata hivyo umri si kitu kama ni kweli mnapendana.
  8. Mlavumbi wa Ukweli

    Naomba msaada kuhusu Internet kwenye Samsung Galaxy Note 3 Neo

    Mkuu ni Samsung Galaxy Note 3 Neo...yaani neno "Neo" limeongezwa ili kuitofautisha na hiyo Note 3 uliyoitaja. Kwa zinavyoonekana kwa nje zipo sawa ila hii Neo ni ndogo kidogo na ndizo zenye double lines.
  9. Mlavumbi wa Ukweli

    Naomba msaada kuhusu Internet kwenye Samsung Galaxy Note 3 Neo

    Wakuu naomba msaada wenu, Mimi na ndugu yangu tumenunua Samsung Galaxy Note 3 Neo na tumekuwa tukizitumia ikiwa ni nimiezi 3 sasa. Hizi simu zina uwezo wa kubeba simcards 2, mimi natumia mtandao pendwa wa Tigo pekee na ndugu yangu ameweka simcards za Voda na Airtel. Tatizo linalokuja ni...
  10. Mlavumbi wa Ukweli

    Awesome mini oasis.

    Wapi hapo mkuu? Pazuri sana
  11. Mlavumbi wa Ukweli

    Kutundika kitambulisho cha kazi shingoni, nje ya ofisi husika maana yake nini?

    Ni kujisahau tu mkuu hata mimi huwa inanitokea hiyo mara nyingi tu
  12. Mlavumbi wa Ukweli

    Hawavumi Lakini wamo

    Utakuwa umeshakuwa kama huyo anayeonekana hapo hivyo kwa ukatili aliokufanyia ni wazi hatakutamani tena yeye ndo atakuacha kabla hujafikiria kumwacha
Back
Top Bottom