sababu ambayo inaweza kupelekea Baba Mtakatifu, kuivunja sacrament ya ndoa;-
1. ni pale kama kuna moja kati ya wanandoa alimuongopea mwenzake, mfno labda alikuwa kaisha funga ndoa nyingne na kanisa lingne, ila kubwa zaidi ni pale mmoja kubainika kuwa na matatizo ya akili ila alimficha mwenzake
2.moja kati ya wanandoa anamatatzo ya kibiolojia, ether asimamishi lkn alimficha mwenzake n.k. ila hii ya pili sio sabbu kubwa sana...
namaliza kwa kusema, ndoa ieheshimiwe na watu wote, kwani kulingana na mafundisho ya kanisa takatifu katoliki, Adui mkuu wa kwanza wa ndoa ni wanandoa wenyewe wala si wengne...