Girlfriend wangu kafanana sura na dada yangu

Girlfriend wangu kafanana sura na dada yangu

nikimwangalia vizuri girlfriend wangu kafanana sura na mmoja wa dada zangu,hata tukiongozana watu husema nakuona uko na sister hapo,hata kwenye kumkamua huwa namuonea aibu nahisi kama nafanya dhambi ya kutembea na dadangu,yeye ni kabila tofauti kabisa na sisi maana niliogopa nikawa napeleleza asili yao kuhofia labda mzee alichepuka ,hili swala linanikosesha amani japo nampenda
Huwa wanasema wakati mwingi wanaume hujikuta kuvutiwa na wanawake waliofanana na dada au mama zao na wanawake huvutiwa na wanaume waliofanana na baba au kaka zao. Hata hivyo sioni ubaya wa huyo girlfriend wako kufanana na dada yako kwani duniani wawili wawili jamani
 
nikimwangalia vizuri girlfriend wangu kafanana sura na mmoja wa dada zangu,hata tukiongozana watu husema nakuona uko na sister hapo,hata kwenye kumkamua huwa namuonea aibu nahisi kama nafanya dhambi ya kutembea na dadangu,yeye ni kabila tofauti kabisa na sisi maana niliogopa nikawa napeleleza asili yao kuhofia labda mzee alichepuka ,hili swala linanikosesha amani japo nampenda
Hata mimi mke wangu anafanana saana na dada yangu ninayemfuata.Nilipompeleka nyumbani walishangaa wakaanza kusema anamfanana dada!
 
yeye hajamuona huyo dada yangu live, alimuona facebook akaadmit kasema wanafanana macho ila mi naona wanafanana sana vitu vingi hasa sura
Usijali dunia watu wawili wawili.. Mimi na fanana sana na mtu mwingine utadhani mapacha.. Mara kadhaa yeye ameitwa jina langu na mimi nimeitwa Lake wakati huo tulikua hajawai kuonana ila kila mtu alikuwa ana HAMU ya kuonana na mwenzake... Ajabu hata mama angu mzazi alushawai kukutuna nae akamwita jina langu... Boss wake alishawahi kukutuna na mimi akanituknana sana eti nimetoroka kazini... Badae nikamwambia sio mimi ila huyo mtu ni pacha wangu alishangaa sana... Nilijitahidi kumtafuta jamani tulijikuta tunalia sana kwa jinsi tunavofanana.... Ikibidi tuanze utafiti... Kuwa bana wazazi... Yaani hatuna undugu hata chembe... Wazazi wake walisoma nje wakaoana huko wa kazaa huko wamerudi Tanzania baada ya baba yako kufariki... Usijali duniani wawili wawili...
 
Hata mimi mke wa kakaangu anafanana na mimi alafu jina lake la kwanza na la pili linafanana kabisa na la marehemu mama yetu
 
Ndondo CUP ya ama Baba yako au ya Baba Mkwe wako mtarajiwa ndio sababu Sex mate wako anafanana na Dadako!
 
mtu mzima mwenzio niko hapa tuwe wachumba kama Dr Slaa n.a. Josephina mchumbusi usiogope
wacha wee ukistaajabu ya dr slaa utayaona ya oprah ana boyfriend wake tangu mwaka 1986 hawajaoana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom