Nataka nimpige mkwara, kwann ananuna siku zote hizo hata kama mtu ameua huwa anasemehewa
wewe unaona kosa la huyo jamaa ni lipi hadi mkewe anune kwani mkiachana na mtu lazima uwepo uadui.
wanawake ni viumbe DHAIFU pili WANAHURUMA acha usharobaro ndan ya FAMILIA yan yy amenuna na wewe umeridhika kabisaaa??? Kua mpole Shuka chini Kiri kosa na omba msamahaa USIJITETEE we omba msamaha ikiwezekana toka nae nenda eneo mzur mkaponde maisha kidgo, Huo n udhaifu kukaa na mke wako siku 4 hamuongei, Au ulitongozewa?

cc Eli79 umeona ee,sio visirani km unavyowaza
Mbembeleze kwa maneno matamu! Mueleweshe vizuri akuelewe! Kwamba hukuwa na nia mbaya! Atakuelewa
Akinieleza mazingira yaliyopelekea mpaka wakawasiliana ntamsamehe. Kw mfano x kafiwa na mtoto au mume au mke kiubinadamu utamsamehe