Recent content by mlandali honoli

  1. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya jeshi la polisi kuhusu kumsindikiza Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais

    Yahan hapo wanaonyesha upendeleo wa Hali ya juu sababu ya kuzuia
  2. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya jeshi la polisi kuhusu kumsindikiza Edward Lowassa kuchukua fomu ya Urais

    Nilijua taarifa za kiintelegencia
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimeumizwa sana na Dr. Slaa

    Nimependa point zako nikweli mtu kama Dr alikuwa nania ya dhat Kwa watanzania Hana bud kuungana na makamanda kwakuwa ukomboz ni Sasa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa heri wasomaji wangu mie nimeamua kujinyonga

    Wakili yupo jana nilikuwa nae maeneo ya kigamboni
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wizi kwa mawakala wa M-Pesa; Vodacom kulikoni?

    mara nyingi kwa tukio kama hilo lazima huyo mteja lazima hawe hanajua namba ya sim ya wakala na halishawai kusave namba yake ya sim kwenye phonebook ya sim ya wakala hanachafanya mteja ni kuedit msg ya mpesa aliekuwa nayo halafu hana forwad kwa wakala kama msg na kumbuka kwenye phonebook ya simu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dr.W.P.Slaa ndani ya EATV

    swali la kwanza kuna haja yakuwa na mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa wakati kuna mkurugenzi wa wilaya. swali la pili lini chadema wataanza kuwa na wajumbe wanyumba kumi kwa sababu tunaona ccm wameweza kwakuwa wajumbe wa nyumba kumi ndio wanajenga chama hasa wamama sasa chadema wanampango gani...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dr.W.P.Slaa ndani ya EATV

    swali la kwanza kuna haja yakuwa na mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa wakati kuna mkurugenzi wa wilaya. swali la pili lini chadema wataanza kuwa na wajumbe wanyumba kumi kwa sababu tunaona ccm wameweza kwakuwa wajumbe wa nyumba kumi ndio wanajenga chama hasa wamama sasa chadema wanampango gani...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kama MWAKYEMBE na MAGUFULI wanafanya uhuni huu basi CCM imedhamiria kuwazika Watanzania!!!

    unajua mtoa mada nimemuelewa kidogo hanajaribu kuangalia kuwepo kwa train na brt kutaondoa msongamano ktk ya mjini kama utashindwa kuondoa msongamano basi swala la pesa kutumika vibaya litahusika kwakuwa lengo la project yeyote nikutatua tatizo lililopo me naona tuangalie unapojenga barabara...
  9. M

    JamiiForums Tanzania kwa wasio na ajira walio Dar es salaam inatuhusu.

    count on me hapo i need people like u hakuna kuongea bila kuja na wazo mbadala lazima tujue hakuna kazi hilikuja bila mtu kuanzisha lazima kuwepo na haja yakucreate kazi wenyewe
  10. M

    JamiiForums Tanzania Madakitari waliogoma, wafukuzwa

    Kwa hili bado sijahafiki hata kidogo pamoja na uchache wa madocta bado tunajeuri ya kupunguza hao wachache tulionao, hivi tutafika kweli kwenye uwiano unao hitajika na hao wachache waliobaki si watakuwa na mzigo mara mbili coz watakuwa na idadi kubwa ya wagonjwa wanaohitaji huduma kuliko idadi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Picha & video: Campus mpya ya chuo kikuu cha afya na sayansi Mloganzila, Kisarawe

    Another kigamboni project on paper hakuna kitu kitakachofanyika kama hilivyokigamboni yamebaki maneno
  12. M

    JamiiForums Tanzania school fees ya master programm

    wadau naomba msaada nataka kujua figure kamili ya ada pamoja na michango yote mpaka unamaliza master ya environmental technology and management hinayotolewa na ardhi university
  13. M

    JamiiForums Tanzania M-pesa, tigo-pesa, airtel-money.

    kiukweli voda na tigo hawatoi lain kwa mawakala wapya hila fanya mpango wakumtafuta aggregator wa voda hanaweza kuwa na lain ambazo hazifanyi kazi huwa wanataratibu yakuziswamp na kuwapa wateja wenye kuzihitaji so unaweza kunicheki nikakuhelp 0712145660 au nenda super star karibu nakona...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu nimeshindwa nianzie wapi mkiwa kama ndugu, jamaa, marafiki, kaka na dada na da

    problem ya undergraduate wengi tunafikilia kuajiriwa hatutaki kudhubut kufanya biashara hata kidogo but ninavyojua biashara inalipa kama ukiwa seriaz
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Vodacom na NSN mmejiponza wenyewe. Msitafute mchawi wenu. Ni nyinyi wenyewe.

    Mkuu nimekusoma mia ya mia hakuna cha kuongeza umoja ndio kila kitu ukipewa nafasi yakujieleza sema pale pale huli wakusome lasivyo unakuwa mnafiki tu kama wazungu walitoa muda wakashindwa kutoa dukuduku uo ni wehu
Back
Top Bottom