Mussa Mussa
Senior Member
- Jan 10, 2012
- 138
- 42
Atwambie amejipangaje na chama chake ikiwa watachukua hatamu hasa katika kupunguza mfumiko wa bei, watafanya nini juu ya wote walioihujumu nchi hii na wakatufanya tuwepo tulipo sasa.
saa kumi na moja hadi saa moja usiku. mia
Tbag Hatari wewe kweli hatari. siku zote nilikua natafuta id unayo tumia naikosa. kila siku naskia jf jf kumbe nawe unahusika!. ndo maana una point sana. ubarikiwe. mia
Ni leo jumatano kuanzia 5-7pm LIVE ndani ya kipindi cha HotMix..
Ni nini ungependa kusikia toka kwake ama ufafanuzi upi naa wa jambo lipi ungependa kusikia akiongelea?
Mkuu naomba nisaidie kunifikishia maswali haya kwa Dr Slaa. M4C imeonyesha mafanikio makubwa sana kwa baadhi ya maeneo iliyopita.je kuna mpango wowote wa kufanya oporesheni ya M4C maeneo ya Zanzibar? Maeneo mengi nchini viongozi wa CDM wamewekwa vipindi vya oporesheni sangara Wilaya,Kata na Vijiji.Je hamuoni kuwa kuna haja ya kuwa na viongozi imara waliochaguliwa kikatiba na si kuteuliwa?
mimi ningependa atuambie wazi wazi kwamba ni ipi itikadi ya chadema? Chadema ikiingia madarakani tanzania itaendelea kupokea misaada toka nje au la?
swali la 4 sijaelewa nafikiri hata yeye hataelewa - mshahara wa nani?1) Anamshauri nini JK ili aweze kupunguza mfumuko wa bei na kushuka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dola ya kimarekani?
2) Ziara za ufunguzi wa matawi nje ya nchi zinafadhiliwa na nani?
3) Ni lini viongozi wa CHADEMA watatangaza mali zao kwa umma wa wa Tanzania?
4) Ni kiasi gani analipwa na CHADEMA kwa mwezi akijumuisha na marupu rupu? Mbali na shughuli za kisiasa, ana shughuli yoyote nyigine ya kiuchumi anayoshiriki?
wote mnaofaidika na mfumo kandamizi -- wizi wa mali za umma, kujilimbikizia mali as if hamtakufa, u will always be in negative side.Swali kwa docta.,...kwanini aliamua kuvunja ndoa yake na kuamua kumchukua mke wa mtu yaani christina na kuishi naye hali ni mke wa mtu.
Ni leo jumatano kuanzia 5-7pm LIVE ndani ya kipindi cha HotMix..
Ni nini ungependa kusikia toka kwake ama ufafanuzi upi naa wa jambo lipi ungependa kusikia akiongelea?
Mda huo wengine tupo ofisini, je tunaweza kupata link ya kuangalia online?
Nitajitahidi kufanikisha iwe hivyo lakini sidhani kama itakua unavyotaka!!
nepi anayo ya ccj yeye ameificha masaburini au wapi?Ni maswali mawili ya msingi kwa Dr Slaa.
1. Bavicha karibia wote wameishanunuliwa kwa kuendekeza njaa nani ataisaidia chama kushinda nafasi mbalimbali kwenye uchaguzi mkuu 2012.
2. Kwa nini unakuwa mwepesi wa kukusanya kadi za CCM kwenye mikutano yako huku wewe mwenyewe binafsi kadi yako ya CCM umeificha mchagoni na kuilipia ada kila mwezi.
swali la 4 sijaelewa nafikiri hata yeye hataelewa - mshahara wa nani?