Madakitari waliogoma, wafukuzwa

Madakitari waliogoma, wafukuzwa

ni kweli mkuu ,huyu jamaa ana narrow mind sana tu,
 
Nasikia Dr. Ulimboka sio mwajiriwa wa serikali hivyo yuko salama.
Madakitari waliojihusisha na mgomo uliotingisha nchi, wameitwa na kuhojiwa kisha wengine kupewa adhabu mbalimbali na wengine kufukuzwa kabisa.

Je, Dr. Ulimboka na viongozi wengine watapata adhabu gani???


Chanzo soma hapa:
Madaktari waliosimamishwa waadhibiwa


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
He? Ile adhabu ya kusitisha uhalali wa leseni zao haikutosha mpaka wafukuzwe kabisa? Serikali ipunguze jazba mbona kama onyo wameshalipata!
 
Unataka Wasifutiwe vibali ili wakaendelee kuua wagonjwa?????????

We ngombe vipi? Mbona unaropokaropoka ovyo? Umelewa au? Halafu unamwambia mtu mwenye akili timamu eti atumie akili wakati wewe umeshindwa kabisa kuitumia hata kwa kiasi kidogo.
 
Msihofu kwani Babu wa Samunge ataziba pengo lao!
 
waambieni chadema sasa wawasaidie c ndo walikuwa wanapa vichwa..kwisha habari zenu sheria nimsumeno..dr.ulimboka na wenzie wako kimya sahizi

ukisikia kuwaza kishamba ndio huko. wewe unadhani kuna atakae kufa njaa miongoni mwao? hao wote kichwani kuna mambo subiri uone.uliona wapi Daktari anakufa njaa?
 
daktari yeye ana mkataba na serikali na sio sisi wagonjwa, so dk akigoma ni kuwa anamkomoa mgonjwa asie na hatia na sio serikali. wangewafukuza na kusitisha leseni zao kwa muda ili kuwapa muda wa kujutia mauaji ya wagonjwa maskini.
 
Kwa hili bado sijahafiki hata kidogo pamoja na uchache wa madocta bado tunajeuri ya kupunguza hao wachache tulionao, hivi tutafika kweli kwenye uwiano unao hitajika na hao wachache waliobaki si watakuwa na mzigo mara mbili coz watakuwa na idadi kubwa ya wagonjwa wanaohitaji huduma kuliko idadi ya madocta sasa naona tunaanza kutengeneza tatizo lingine mbele. mi naona ingetumika busara kwa pande mbili kuliko mmoja hakawa mbabe coz serikali hitakuwa inabeba msalaba mwingine kwa wagonjwa watakao kufa kutokana na kukosa huduma kwakuwa madocta hawatoshi hivi nani hatawashitaki kwakosa hili pindi wagonjwa watakapo kufa kwakukosa huduma. bado tunakazi kubwa mbele yetu serikali inakimbia kivuli chake?
 
Daktari anapogoma ni sawa na mzazi wako angegoma kukulisha alipokuzaa. HAWA HAWANA TOFAUTI NA MUUAJI YEYOTE
Ungesema kwamba serikali ilioshindwa kuboresha sekta ya Afya kwa wananchi wake na kuendelea kuibemenda sekta hiyo Kwa kuwafukuza madaktari; HAWANA TOFAUTI NA WAUAJI! Yaani inatisha kwa serkali inayojidai iko makini kushindwa kuwashawishi na kuwaaminisha madaktari waendelee na kazi hata kwa mkopo? Leo unaona ni heri kufunika kombe mwendawazimu apite!
 
Attached - global ratio of physician /10000 population
Where o we stand?


heeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!

Mbona hii ya Tanzania sijaielewa RATIO yake!!!!!!


========================================================================
Madagascar 2
Colombia 1
Cote d'Ivoire 1
Mauritania 1
Uganda 1
Vanuatu 1
Guinea 1
Congo 1
Ghana 1
Burkina Faso 1
Benin 1
Senegal 1
Zambia 1
Papua New Guinea 1
Togo 1
Mali 0
Guinea-Bissau 0
Gambia 0
Somalia 0
Mozambique 0
Rwanda 0
Bhutan 0
Ethiopia 0
Malawi 0
Niger 0
Sierra Leone 0
Liberia 0
Tanzania (United Rep. of) 0
American Samoa (NA)
Angola (NA)
Anguilla (NA)
Antigua and Barbuda (NA)
Argentina (NA)
Aruba (NA)
Bahamas (NA)
Bermuda (NA)
Bolivia (NA)
Bouvet Island (NA)
British Indian Ocean Territory (NA)
British Virgin Islands (NA)
Burundi (NA)
Cameroon (NA)
Cayman Islands (NA)
Central African Republic (NA)
Chad (NA)
=========================================================================

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Ungesema kwamba serikali ilioshindwa kuboresha sekta ya Afya kwa wananchi wake na kuendelea kuibemenda sekta hiyo Kwa kuwafukuza madaktari; HAWANA TOFAUTI NA WAUAJI! Yaani inatisha kwa serkali inayojidai iko makini kushindwa kuwashawishi na kuwaaminisha madaktari waendelee na kazi hata kwa mkopo? Leo unaona ni heri kufunika kombe mwendawazimu apite!

sio kwa mkopo.hata kwa bure hiyo ni kazi ya wito.wafuate nyayo za nightngale.
 
Back
Top Bottom