Recent content by mkwangha

  1. M

    JamiiForums Tanzania UNYANYASAJI: Wafanyakazi wa Kiwanda cha Tanzania Biotech Products Limited (TBPL), hawajalipwa Mshahara miezi mitano

    Kawida inakuwa hivi Watu wauzalishaji wazalishe bidhaa inayouzika na wa masoko wauze kitu kilichozalishwa. Hapo watapata hela ya kuweze kuendesha kampuni Pamoja na kulipana mishahara. Wakishindwa watu wa masoko na mauzo tupo watuite
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hatua kwa hatua hadi Leirvik - Norway, kwa wanaotaka kufika Norway nitawaeleza hapa

    Natafuta kigoda kabisa nikae
  3. M

    JamiiForums Tanzania Head of Advertising Sales at StarTimes Group

    Ngoja tuombe Tuone
  4. M

    JamiiForums Tanzania Business plan ya kuanzisha mradi wa kuku wa nyama (BROILER) 500

    Safi Inatosha Issue ni kupata hiyo capital Na management at all. Lakini inawezekana!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kutembelea Kenya kwa ziara ya siku mbili

    Safi mama Ssh
  6. M

    JamiiForums Tanzania General Manager Catering and Facility Management at AKO Group Ltd

    Mbona tangazo la siku nyingi Sana?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupata connection za ajira na machimbo mengine

    Natafuta ajira Nina 1 Diploma mifugo 2.advance BA 3.PGD IBM Uzoefu mauzo 5yrs
  8. M

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa msimamizi wa shamba

    NJOO KWENYE NAMB A HII UWASILIANE NA MANEJA 0713921703 .KARIBU
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo Biashara na kampuni ya Namaingo Business Agency

    Mungu atusaidie.. Nchi hii kila kata INA afisa Kilimo/Mifugo kama unataka ushauri wa Kilimo Mifugo nenda huko watakusaidia Ahsante
  10. M

    JamiiForums Tanzania Handeni DC: Tangazo la kuitwa kwenye usaili January 22 na 23, 2018

    Wakimaliza usaili watoe waliofauli halafu tufanye v look
  11. M

    JamiiForums Tanzania Umezuka ugonjwa unaoshambulia mimea ya mahindi

    Vernom super itafaa zaidi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hebu tuangalie Hii observation, halafu tutafakari kuhusu remark ya shithole

    Nafikiri ,tujiulize kwa mini ametuita shithole. . Umasikini usiokuwa na sababu Wizi wa rasilimali bilà kujitambua.. Kutotumia fursa zilizopo kuondoa. Umaskini . Nk
  13. M

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa ndege TZ: Wahabeshi/Ethiopian Airlines wamewezaje, tukashindwa sisi?

    Tunaonge mengi sana lakini maoni,yangu ni kuwa ukosefu was shirika bora LA ndege Tanzania ni fursa kwetu je tumeitumiaje /,.tuandike hata proposal tu ya kuanzisha hii biashara inawezekana
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini shilingi ya Tanzania inaporomoka dhidi ya dola

    Pia,kwa upande mwingine in,fursa kwetu kuzalisha baadhi ya bidhaa,tuanze kidogo kidogo tunaweza kufanya,vitu vuzuri.
Back
Top Bottom