Tumepoteza muelekeo kabisa kwenye hili.....Na hakuna namna ya kuturudisha kwenye njia iliyo sahihi ...hatuna tofauti na chapati kwenye kikaango..Mpishi anageuza anavyotaka tu.
kila jambo linafanyika kisiasa sana.....tunafundishwa kusamehe ni kweli ..lakini sio kwa hawa jamaa...walichokifanya hakiwezi kufutika kirahisi kwenye akili za wale watoto. na inawezekana kabisa wengine wakawa wameathirika kisaikolojia na hatimae kuishi maisha ambayo hawakutarajia kuishi na...
Hawa awali walikuwa hawana maelewano mazuri kwenye ndoa yao.ilikuwa kila mara ugomvi. mme wake alikuwa mlevi sana.
wamejaribu kwenda hsptl majibu Dr kasema kuna mfupa kwenye uti wa mgongo umesimama na watakiwa kulala na hiyo inatokana na kukaa kwenye kiti mda mrefu.hivyo yapaswa afanyiwe...
Ah! hapa unatakiwa kuwa makini sana.kama walivyosema wachangiaji wengine,anaejua ukweli wa nani ni baba yako ni mama yako pekee.Kama hajakueleza mpaka unafikia Umri huu ina maana kuna siri kubwa anayo moyoni ambayo huenda kama ikivuja inaweza kugharimu uhai wa ndoa yake ama maisha yake kabisa...
nakukubali sana kaunga,kwanza huwezi kutoka out na mchimba wako bila kujipanga tena ukizingatia unaenda mbali na nyumbani tena beach hotel.jamaa ameongeza sana au ametengeneza story.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.