Bosi Baada ya ku cheat na mke wa mtu amepatwa na janga mwaka wa pili sasa

Hahahaaaa.......huyo Jamaa aliyekwambia huenda naye anamtamani ndo maana akakutisha, jiongeze kaka!!??
Sasa Fanya hivi meambie huyo rafiki yako kuwa umemta uyo Dada na ujapata tatizo lolote utaona anavyohangaika, na baadae anaweza kukueleza ukweli kuwa naye alikuwa anamtamani.
mke wa mtu sumu ati...........
 
kuna dada mmoja nliwah kutana naye sehemu nikawa na ukaribu naye kama rafiki na baadaye ukaribu ukasogea zaidi kidogo. huyu binti nlikuja kufahamu kuwa ni mke wa mtu hapo baadaye na sikuwahi kiukweli kumfanya lolote sababu mimi kwa sasa nipo busy sana. basi katika maongezi kumbe anafahamiana na jamaa yangu flani ambaye siku hiyo alitukuta wote tunapata lunch.baadaye jamaa akaniuliza kama tayari nimesha nanii kwa yule binti. nikamwambia hapana.ni dada mzuri kwa sura na umbo pia. naye alishaanza kunionesha mapenzi. sababu ya ukaribu wetu na pia mimi hupenda kumsikiliza.

huyu dada ana mwaka wa pili sasa hajafanya tendo la ndoa na mumewe. mumewe inasemekana ilitokea mashine ghafla ikasizi kupiga show. jamaa akanambia kuwa mumewe ni mfanyakazi wizara moja hivi ana nafasi nzuri tu. huko ofisini kwake alimtamani mke wa mtu ambaye ni mfanyakazi wa chini yake.akaanza kumweka mweka kwenye target ili akikaa kwenye target yake afanye naye matusi. mume aliaanza kushtuka mapema kuwa mkewe safari za dodoma kila mara kuna walakini.akafuatilia mpaka akaja kukutana na mhusika yule bosi.inasemekana akamwambia kuwa kama anania ovu na mke wa jamaa aache maana kuna texts anazikuta hazina afya kwa mahusiano yake na mkewe. yule bosi nasikia alimjibu jamaa kuwa kama anaona vipi basi amwachishe kazi mkewe otherwise asimpotezee muda.

yule bosi akaendelea na jitihada zake na akafanikiwa kumla yule dada. kilichotokea toka siku ile amemla yule dada yule bosi mashine yake haikusimama tena.alipoingiza mara moja akamaliza mpaka leo inasemekana hajasimamisha. alihangaika sana hosp na mwishowe kwenda kwa waganga na huko aliambiwa amechomwa mwiba. na akapewa dawa kuwa hiyo dawa anatakiwa akamwekee mkewe kwenye chakula wale wote. na kuanzia hapo asubirie kama mtu atatembea na mkewe ndo atachukua lile tatizo lake lihamie kwake naye ndo atapona. kwa bosi ikawa ni mtihani mwingine kwake.kuwa inabidi mke wake naye atembee nje ili yule atakayetembea naye ndo achukue lile tatizo.

yule dada ni muda sasa analalamika kwangu kuwa ana hamu sana ya kufanya ya kufanya nami matusi, na angetaman tupate wasaa wa kufanya hivyo kaniweka wazi tu kuwa ana miaka 2 hajaguswa na anajisikia hamu sana coz sometime huwa nampigisha stories anafikia hatua anajichua huko home ana come.but now anataka kitu real.nami nimeshaambiwa na jamaa yangu about that issue. na mume anasubiria tu kuwa mtu a cheat na mkewe ili achukue lile tatizo naye afunguliwe. wadau hili limenipa wazo moja kuwa kwa sasa inabidi kukaa mbali kabisa na wake za watu. jamaa wameamua kurudi zama za mawe. yaani kuwatega wake zao ili ninyi vidume mkiingia mpatwe na ya kupatwa. si wanawake si wanaume. tuwe makini katika hili.
Daaah we jamaa kwa hekaya za Abunuwasi haujambo! Sema tunapita nyuzi zako kufurahia tu
 
Unakonda kwa issues ambazo si zako... Sisi wanaume huwa hatuwi na wivu na chuki zisizo na msingi.just mind your own biz... Unapata shida bure na kukonda... Angalia jamvi ndugu bujibuji usitandike hilo...

za kitoto halafu
 
Mkiandika hivi kuna jamaa wanapatwa na tumbo la kuhara sana. Yaani wao walishapata uvimbe tumboni wakisikia jina langu wanapatwa na kichefu chefu na mimi nawagonga kila kona. Ndugu Bujibuji upo? Sikuoni siku hizi...
 
Itakuwa tayari hiyo dildodo anayotumia imeshachukua hilo tatizo usijali kijana.
 
hahaaa yaani kama Huyo mwanamke mpka wewe umeshindwa kumla chiu kwakuogopa jogoo kutowika..bila shaka itakuwa ni zaidi ya hatari .....
apite Hivi tu kwakweli
 
Back
Top Bottom