Recent content by mkuu Junior 2

  1. M

    JamiiForums Tanzania Andrew Nyerere awatemea cheche TISS

    Andrew ndio nani
  2. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kusimamisha kampeni kesho jimbo la Kinondoni ili kuhudhuria mazishi ya Kingunge Ngombare Mwiru

    Mzee amepumzika. Tumsindikize bila vijembe kwani kila nafsi itaonja mauti
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwame Nkrumah: Mwanaharakati aliyeoa mke asiyemjua

    Babu yako huyo?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hatuambiwi Kingunge ni mzaliwa wa wapi

    Alikuwa mjumbe wa bunge la katiba akiwakilisha wachawi na waganga wa kienyeji.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Range Rover Vogue 2018 Muingereza hatari

    Wengine tumezoea TOYo. Haya ni mashikoro mageni upande huu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kusaga, Ruge, na TCRA, Tusikubali Udhalilishaji Huu wa Shilawadu!. JPM Anaangalia!.

    Mayalla kapoteza muelekeo. Atakuwa anakunywa sana kilevi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Rais Magufuli: Wananchi hatutaki Passport za rangi ya blue

    Hiyo rangi ya KLM, Dutch airline
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini shule nyingi za Zanzibar huburuza mkia kwenye matokeo ya kidato cha nne na sita?

    Hoja hii inahitaji majibu jamani. Tuache kubisha kila kitu kwa maana haiwezekani shule zilizofanya vibaya NNE kati ya kumi zitoke visiwani tena Unguja
  9. M

    JamiiForums Tanzania RC Mnyeti amtumia mbunge Ole Millya salamu za kuachia jimbo la Simanjiro

    Kwa hiyo Toima atazawadiwa ubunge?
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyewahi kukutana na mpenzi aliyetahiriwa tushirikishane ilivyokuwa

    Memory card not inserted??? Duh
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya Kiapo cha Odinga: Serikali imelitangaza kundi la NRM liongozwalo na Raila Odinga kuwa la kihalifu

    Ni rafiki yake na Mh kwa vipi?I.e Magi na raila
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta hana mfano Afrika kwa demokrasia

    Kafanya jambo la kiungwana. Anajiamini
  13. M

    JamiiForums Tanzania Maulid Mtulia Vs Salum Mwalimu

    Propoganda mfu
Back
Top Bottom