Wakurya wana ujasiri gani?Hapo ndio mwisho wako ktk kufikiri???[emoji23] [emoji23]
Wikipedia andika Kinjekitile Ngwale
Lakini hii tulifundishwa historia ya darasa la nneHiv mama unajua kwamba hata ww unaweza kuweka taarifa fake ktk wikipedia?
Nimetoka juzi Kati huko kipatimu nikitokea njia nne. Pale ndoo wanaptikana wamatumbi wakristo na ndoo asili ya mzee Kingunge Ngombare MwiruKingunge ni Mzee Wa kimatumbi, kwao pale Kipatimu misheni, ndugu na Mbunge Wa sasa Veda Ngombale.
Mie huko naendaga sana.Nimetoka juzi Kati huko kipatimu nikitokea njia nne. Pale ndoo wanaptikana wamatumbi wakristo na ndoo asili ya mzee Kingunge Ngombare Mwiru
Haha kwa kingungeUzame chumvini kwa nani sasa
Mkuu ndoo kwenu ama katika harakati za kutafta mkate maana ile ukijani ulinivutia nikatamani nipate mtuu tufanye biashara lakini nikaogopa wajanjaMie huko naendaga sana.
Uzame chumvini kwa nani sasa
Wabongo bwana eti source nizame chumvini, source mbunye haya zama huko chumvini tuone utatoka na habar gani zaid ya UTI, acha bangi mkuuSource mama, ili nami nizame chumvini
Mmh wabongo kwa matango pori?, ukitegemea data za jf kwa research unaeza futiwa udhamini na sponsor wakoMzee ni Muingereza mwenye asili ya kikongo kutoka kabila la wanzubhung kwenye mji wa Yuri zaman mji huo ulifahamika kama Swane ila sahiv unaitwa Kangise, ni mji mdogo wenye wakazi wapatao 1.6mil.
Lakini hii tulifundishwa historia ya darasa la nne
zilishapendwa hizo. Yani enz hizo thread zote zinazungumzia pembejeoturudishe misingi ya JF ya 2009-2015.
besti big up kwenye historia. Napenda Sana historiaLakini hii tulifundishwa historia ya darasa la nne