Recent content by MKUSANYAJI

  1. MKUSANYAJI

    JamiiForums Tanzania Jumanne nyeusi kwa Rais Magufuli inakuja

    nimeguswa na maneno hayo hasa huo mstari wa biblia
  2. MKUSANYAJI

    JamiiForums Tanzania Azam FC imewatimua makocha wake wote raia wa Hispania

    nimeshangaa kwanini wamewachelewesha kwani nahisi lingehitajika hili kufanyika mapema kulingana na hali yao yakiushindani
  3. MKUSANYAJI

    JamiiForums Tanzania Wabunge 29, wakikacha chama tawala Korea Kusini

    hao ndio wanajua utawala bora kwa wananchi hawafumbii macho ujinga unaotendwa na kiongozi mkubwa
  4. MKUSANYAJI

    JamiiForums Tanzania Mtukufu raisi angejibiwa hivi ?

    OHOOOO ni shidaaaaaaa
  5. MKUSANYAJI

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nilibaki naangali azam two Maghembe akihojiwa kuhusu JOHN baada yakuona x-maxy ndio habari kwa kila kona ITV
  6. MKUSANYAJI

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi juu ya shitaka namba 3 la kutokutumia .tz

    mh! miaka yote imeanzishwa leo ndio wanaona sio halali? hii namba wameikosea sio ya huku!!!!!!!!
  7. MKUSANYAJI

    JamiiForums Tanzania Kiama: Vocha za simu kukatwa kodi ya VAT kabla ya kuzitumia!

    Kweli hii namba ni ngumu kusoma
  8. MKUSANYAJI

    JamiiForums Tanzania Video: Polisi wakisalimiana na Waandamaji

    yaani usiombe kukutwa hata kama umpita njia huusiki bado ni virungu!
  9. MKUSANYAJI

    JamiiForums Tanzania Baada ya Malalamiko ya WanaJamiiForums, Rais Magufuli aandika kwa Usahihi kumpongeza Trump

    da! kweli natamani malaika washuke watu tuchape kazi cos hatuwezi hata kuandika mtandaoni!
  10. MKUSANYAJI

    JamiiForums Tanzania Kipanya katika ubora wake

    da! kweli ni shida inatakiwa ajiangalie mpaka kwenye fikra, KP uko vyema ujumbe unafka vzuri.
  11. MKUSANYAJI

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM wagawana hela za CCM, Je wanachama tutagawiwa lini?

    Jamaa kasema MBOWE nae kama anataka hiyo 10mil ajiunge kwenye hicho kikundi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! kweli TUNAISOMA namba,,,
  12. MKUSANYAJI

    JamiiForums Tanzania Utawala huu Unafalsafa ya Kuendeleza Vitu na Si Watu.

    nimenasa vitu muhimu hapo kwaajili ya kunufaisha familia!!!!! upo sahihi kwani hii Tz imenunua vitu vya samani ndani ya mwaka mmoja ila imeshindwa kusomesha watoto wake nazan ni uhamisho wa Elimu bure!
  13. MKUSANYAJI

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba awananga CHADEMA kukosa Umeya Kinondoni

    Mpaka sasa mzee kaishiwa hoja hata aseme vp bado CUF watamtambua kama mwanachama kigeugeu wala cio mwenyekiti, huko kutoa mawazo hakutamsaidia kujisafisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  14. MKUSANYAJI

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Ukiwa Kiongozi mpya ni lazima uonekane kweli mpya na mambo yawe mapya

    kweli hilo nalo aliangalie kwa makini Mh. JK
  15. MKUSANYAJI

    JamiiForums Tanzania Vema taarifa hizi ziendelee kutolewa

    Mimi hata sijui nimefikia namba ngapi kwani nahisi huyu mtu siku haziendi aondoke.,,
Back
Top Bottom