Jile79 JF-Expert Member May 28, 2009 17,668 13,255 Dec 25, 2016 #3 Jamaa anaweza kuifungia hata Facebook!
Mbulu JF-Expert Member Apr 15, 2015 5,620 5,513 Dec 25, 2016 #4 Weeee, usimfananishe Uhuru na ........
Ombudsman JF-Expert Member Apr 18, 2012 3,565 3,730 Dec 25, 2016 #8 Mtu angefungwa kifungo cha maisha.
P Pohamba JF-Expert Member Jun 2, 2015 27,632 61,165 Dec 25, 2016 #14 Uhuru kaamua kuiga Siasa za Kikwere
mkorinto JF-Expert Member Jun 11, 2014 31,415 38,701 Dec 26, 2016 #18 Sasa kama hujui wa kwetu ukimwambia hivi ndio anafurahi.
wambura marwa JF-Expert Member Mar 7, 2015 2,172 1,128 Dec 26, 2016 #19 mkorinto said: Sasa kama hujui wa kwetu ukimwambia hivi ndio anafurahi. Click to expand... Hebu mwambie nione kama atafurahi kama hafurahii kuitwa mtakatifu itakuwa hivyo Hahahaha
mkorinto said: Sasa kama hujui wa kwetu ukimwambia hivi ndio anafurahi. Click to expand... Hebu mwambie nione kama atafurahi kama hafurahii kuitwa mtakatifu itakuwa hivyo Hahahaha