Vema taarifa hizi ziendelee kutolewa

Vema taarifa hizi ziendelee kutolewa

Kuepuka kuonekana kama mmoja alisafiria nyota ya mwenzake ni vema zile taarifa za kila mwezi ziendelee kutolewa bila kujali kushuka ama kupanda kwa idadi
-Taarifa za kuvunja makusanyo ya kodi
-Taarifa za wafanyakazi hewa kwa kila mkoa na kila idara
-Taarifa za waliohakikiwa mpaka sasa
-Kazi zilizo kwisha fanyika at least kwa mwaka huu wa kwanza wa awamu ya tano
Gavana wa benki kuu Prof. Ben Ndullu alitoa takwimu za uchumi kukua kwa kiwango cha 5.5! Huu ni mweleka kwakuwa kipindi cha mwisho wa utawala wa awamu ya nne takwimu zilionyesha kuwa uchumi unakua kwa asilimia 5.7
Kuna kitu cha kutisha zaidi kimeanza kujitokeza, ile tofauti kati ya matajiri na walalahoi tuliyoaminishwa itaondoshwa ni kama imekufa kifo cha asili
Kinachoonekana sasa ni matajiri wale wale waliokumbatiwa na serikali zilizopita ndio hao hao wanazidi kupewa kipaumbele huku walalahoi wakiwekewa vizingiti vya kila aina... Ni kama Mkapa anarudi kimyakimya
Kwasasa zinazotamba ni kampuni nyingi za kigeni kwenye kila sekta huku za walalahoi zikizidi kudhoofika! Na mgeni akilipwa chake hakilali hapa nchini kinapelekwa kwao
Vyovyote iwavyo basi endeleeni tu kutupatia takwimu ili tujue tulikotoka tulipo na tuendako
uchocheziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Hutapewa takwimu yyte ila utaambiwa mchchezi kingne siasa za hvi tushazizoea nchi nying sana siasa za kuridhisha wananchi na kiwapumbaza maskini nakutaka usikilizwe wwe tyu hyo inaonyeshawelekeo mbaya wa serikali
 
Ivi which innovationa ideas iliyoletwa na serikali ya awamu ya tano ambayo inaweza kutupeleka uchumi wa kati na kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda?
Sijaiskia wala kuiona nachosikia ni "hi I itakuwa serikali ya viwandaa" (kwa sauti ya mkuluu) na kulazimisha mashirika binafsi na watu kuwekeza bila kuwaonyesha wafanye nni
 
Pia tunaomba report ...... Air Tanzania imeshakusanya Sh'ngapi.(kama kweli ni ndege yetu)🙂
 
Me nadhani tushangilieni tuu kwa yote yanayojitokeza na yatayojitokeza. Hizi ndo zama zenyewe haswaaaa za kila mmoja kuwa na furaha kwa kushangilia chenye maana na kisicho na maana.

Tulikuwa na zama tofautitofauti tangu ulimwengu uanzishwe eg Zama za mawe, zama za ukweli na uwazi, zama za Ari mpya na Kasi mpya. Sasa tupo katika zama za kushangilia kwa kila jambo wananchi lazima muelewe hilo acheni uchochezi.
 
Kuna wizara imeshamaliza fedha yote ya bajeti ya mwaka huu sasa waziri akitaka kusafiri anaomba fedha Idarani ambako nako zimeisha..meanwhile mzee kasema akisikia mtu analalamika bajeti ndogo atarara nae mbere...Niambie tunakwenda wapi?
 
Me nadhani tushangilieni tuu kwa yote yanayojitokeza na yatayojitokeza. Hizi ndo zama zenyewe haswaaaa za kila mmoja kuwa na furaha kwa kushangilia chenye maana na kisicho na maana.
Hahahaha kweli maana wanataka tuwe hvooo hahahahaha mtu akitukana unamwambia tusi zuri sana hlo mkuu nikupe na jingne umtukane akiipigana mkuu niliona ulibompiga yule jamaaa unajua sanaa..... Akipigwa mkuu kumbe kupigana unaweza sema huyo jaaamaaa itakuw alikuw na kitu kakuwekea ili uleweee hahahah
 
Kuepuka kuonekana kama mmoja alisafiria nyota ya mwenzake ni vema zile taarifa za kila mwezi ziendelee kutolewa bila kujali kushuka ama kupanda kwa idadi
-Taarifa za kuvunja makusanyo ya kodi
-Taarifa za wafanyakazi hewa kwa kila mkoa na kila idara
-Taarifa za waliohakikiwa mpaka sasa
-Kazi zilizo kwisha fanyika at least kwa mwaka huu wa kwanza wa awamu ya tano
Gavana wa benki kuu Prof. Ben Ndullu alitoa takwimu za uchumi kukua kwa kiwango cha 5.5! Huu ni mweleka kwakuwa kipindi cha mwisho wa utawala wa awamu ya nne takwimu zilionyesha kuwa uchumi unakua kwa asilimia 5.7
Kuna kitu cha kutisha zaidi kimeanza kujitokeza, ile tofauti kati ya matajiri na walalahoi tuliyoaminishwa itaondoshwa ni kama imekufa kifo cha asili
Kinachoonekana sasa ni matajiri wale wale waliokumbatiwa na serikali zilizopita ndio hao hao wanazidi kupewa kipaumbele huku walalahoi wakiwekewa vizingiti vya kila aina... Ni kama Mkapa anarudi kimyakimya
Kwasasa zinazotamba ni kampuni nyingi za kigeni kwenye kila sekta huku za walalahoi zikizidi kudhoofika! Na mgeni akilipwa chake hakilali hapa nchini kinapelekwa kwao
Vyovyote iwavyo basi endeleeni tu kutupatia takwimu ili tujue tulikotoka tulipo na tuendako
Mwanzoni ulikuwa unakejeli utolewaji wa taarifa leo unazitaka.....kweli nimeamini 1/4
 
Me nadhani tushangilieni tuu kwa yote yanayojitokeza na yatayojitokeza. Hizi ndo zama zenyewe haswaaaa za kila mmoja kuwa na furaha kwa kushangilia chenye maana na kisicho na maana.

Tulikuwa na zama tofautitofauti tangu ulimwengu uanzishwe eg Zama za mawe, zama za ukweli na uwazi, zama za Ari mpya na Kasi mpya. Sasa tupo katika zama za kushangilia kwa kila jambo wananchi lazima muelewe hilo acheni uchochezi.

Naunga hoja mkono..
Mimi naendelea kushangilia(kwa majonzi) kama wenzangu wanavyo shangilia..
Sipendi kuitwa mchochezi..
 
Kuepuka kuonekana kama mmoja alisafiria nyota ya mwenzake ni vema zile taarifa za kila mwezi ziendelee kutolewa bila kujali kushuka ama kupanda kwa idadi
-Taarifa za kuvunja makusanyo ya kodi
-Taarifa za wafanyakazi hewa kwa kila mkoa na kila idara
-Taarifa za waliohakikiwa mpaka sasa
-Kazi zilizo kwisha fanyika at least kwa mwaka huu wa kwanza wa awamu ya tano
Gavana wa benki kuu Prof. Ben Ndullu alitoa takwimu za uchumi kukua kwa kiwango cha 5.5! Huu ni mweleka kwakuwa kipindi cha mwisho wa utawala wa awamu ya nne takwimu zilionyesha kuwa uchumi unakua kwa asilimia 5.7
Kuna kitu cha kutisha zaidi kimeanza kujitokeza, ile tofauti kati ya matajiri na walalahoi tuliyoaminishwa itaondoshwa ni kama imekufa kifo cha asili
Kinachoonekana sasa ni matajiri wale wale waliokumbatiwa na serikali zilizopita ndio hao hao wanazidi kupewa kipaumbele huku walalahoi wakiwekewa vizingiti vya kila aina... Ni kama Mkapa anarudi kimyakimya
Kwasasa zinazotamba ni kampuni nyingi za kigeni kwenye kila sekta huku za walalahoi zikizidi kudhoofika! Na mgeni akilipwa chake hakilali hapa nchini kinapelekwa kwao
Vyovyote iwavyo basi endeleeni tu kutupatia takwimu ili tujue tulikotoka tulipo na tuendako
Ebu taja hivyo vikwazo.na utoe ushauri.
 
Wa Tanzania vipofu hata kusikia hamsikii basi hata hisia kuweni nazo, hivi bado mnamatumaini kuwa ni serikali ya wanyonge?
Kuepuka kuonekana kama mmoja alisafiria nyota ya mwenzake ni vema zile taarifa za kila mwezi ziendelee kutolewa bila kujali kushuka ama kupanda kwa idadi
-Taarifa za kuvunja makusanyo ya kodi
-Taarifa za wafanyakazi hewa kwa kila mkoa na kila idara
-Taarifa za waliohakikiwa mpaka sasa
-Kazi zilizo kwisha fanyika at least kwa mwaka huu wa kwanza wa awamu ya tano
Gavana wa benki kuu Prof. Ben Ndullu alitoa takwimu za uchumi kukua kwa kiwango cha 5.5! Huu ni mweleka kwakuwa kipindi cha mwisho wa utawala wa awamu ya nne takwimu zilionyesha kuwa uchumi unakua kwa asilimia 5.7
Kuna kitu cha kutisha zaidi kimeanza kujitokeza, ile tofauti kati ya matajiri na walalahoi tuliyoaminishwa itaondoshwa ni kama imekufa kifo cha asili
Kinachoonekana sasa ni matajiri wale wale waliokumbatiwa na serikali zilizopita ndio hao hao wanazidi kupewa kipaumbele huku walalahoi wakiwekewa vizingiti vya kila aina... Ni kama Mkapa anarudi kimyakimya
Kwasasa zinazotamba ni kampuni nyingi za kigeni kwenye kila sekta huku za walalahoi zikizidi kudhoofika! Na mgeni akilipwa chake hakilali hapa nchini kinapelekwa kwao
Vyovyote iwavyo basi endeleeni tu kutupatia takwimu ili tujue tulikotoka tulipo na tuendako
Mkuu, hakika wewe ni mtu mzima! Hivi serikali ya wanyonge inashindwa kusaidia wahanga wa matetemeko?
Kusaidia wahanga wa kimbunga kubomolewa nyumba zao?
Wanyonge ni watu wa aina gani?

Misaada ya wanyonge serikali inajenga shule, na hospital na barabara.

Hivi aliyelala inje, akalala njaa, anaweza kusoma?
 
Kutegemea mabadiriko ya kumkomboa Mnyonge kwa serikali hii ni sawa nakusubili gari moshi Mafia Kisiwani.
 
Siku hizi mtu akishusha nondo nzito hapa jukwaani Mods fasta sana wanaimerge na thread nyingine laini laini, Sijui tumekuwaje siku hizi!
 
Back
Top Bottom