Wabunge 29, wakikacha chama tawala Korea Kusini

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,552
2,000
Wabunge 29 wa Bunge la Korea kusini wamejiondoa katika chama tawala nchini humo.

Hatua hiyo imekuja kufuatia tuhuma za rushwa ambazo pia zinamgusa Rais wa nchi hiyo Park Geun-hye kwa mashtaka ya kutumia madaraka vibaya.

Hatua hiyo imekuja ikiwa imebaki miezi michache kufanyika kwa uchaguzi wa Rais.

Wabunge hao wanatarajiwa kuunda chama kingine kipya na upo uwezekano wa kumtaka Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayemaliza muda wake Ban Ki-Moon, kuwa mgombea wa chama hicho.
 
Mwasita Moja

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
2,906
2,000
Hata sisi wabunge wa chadema muda siyo mrefu tutamkimbia dikteta Mbowe,
Kila siku michango alafu hata hela za ruzuku na zile za mauzo ya chama hatujui zinaenda wapi
 
ubinaadamukwanza

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
222
250
Umalaya wa Kisiasa.
Jemedari mzuri ni yule anayebakia na farasi wake, jeshi lake na bendera yake mpaka mwisho wa vita.
Afadhali kuwa mateka kuliko kuwa kibaraka.
No retreat. No surrender.

You have a pledge to serve you people.
Your people have invested their faith in you, halafu wewe unakuwa kimbembele na kigeugeu na tabia ukahaba kuzunguka kwenye chama hiki na kile.
Mtu akiitwa asichukie.

Wananchi wamekuchagua. Umeingia kwenye madaraka. Hakikisha unawapa watu wako wanayohitahi.
 
OSOKONI

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
10,978
2,000
Umalaya wa Kisiasa.
Jemedari mzuri ni yule anayebakia na farasi wake, jeshi lake na bendera yake mpaka mwisho wa vita.
Afadhali kuwa mateka kuliko kuwa kibaraka.
No retreat. No surrender.
No retreat no surrender ni mbinu ya kijinga vitani kuna wakati waku retreat ili kujipanga upya kujibu shambulizi ukienda kichwa kichwa mbele tu unateketeza brigedi yote
 
ubinaadamukwanza

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
222
250
No retreat no surrender ni mbinu ya kijinga vitani kuna wakati waku retreat ili kujipanga upya kujibu shambulizi ukienda kichwa kichwa mbele tu unateketeza brigedi yote
Malofa na Cowards mara nyingi wanatumia hii Terminology ya "Retreat" as Justification ya kukimbia.
"Mapambano Yanaendelea".
Aluta Continua.
 
Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
7,146
2,000
Hata sisi wabunge wa chadema muda siyo mrefu tutamkimbia dikteta Mbowe,
Kila siku michango alafu hata hela za ruzuku na zile za mauzo ya chama hatujui zinaenda wapi
Kuwadi la ccm Mwasita Moja likiwa kazini leo! Eti sisi wabunge wa chadema!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom