Ethos
JF-Expert Member
- Aug 1, 2015
- 2,294
- 2,118
Mdau mmoja kanitumia... Yupo nchini Marekani..
Hapa polisi wanapeana mikono na Waandamanaji Kwa Amani kabisa..
Ingekuwa ni nchini kule kwa kusadikika ambapo Lizaboni anatokea, hawa watu wengepigwa virungu na maji ya washawasha wingi...
Eti umpinge Rais Mteule?
Jionee mwenyewe
Ethos.