kwa kitendo kama hicho walichokifanya wana igunga ni fundisho kubwa kwa wanajimbo wengine inaonesha kwa namna gani ccm inaweza kucheza na utapeli kwa wananchi wa hali ya chini kama wana igunga when you look at the other side ya uchaguzi ni ufisadi mkubwa unatendeka wakati igunga na umaskini wao...
kuna watu naamini sio watanzania jamani tuacheni watanzania tutafute haki zetu we omr ni zao la magamba huwezi ona hii. unaonekana ni mtoto SITTA mnafanana hata akili kweli unajua huku Tarime tunateseka vp. kweli we muuaji. nakuakikishia 2015 hapatakalika.
Hilo ni changa la macho kwani huwa MP hampelekei analysis report za wizara au ndo kujikosha mbele za vyombo vya habari kwa kuuliza cheche zake hazarani aonekane mtendaji wa mambo hapa hamna kitu watu tumeshachoka na CCM.
we wont bring changes if we will not practice changes hii ikifanyika nchi nzima kwa ushirikiano jamani hayawezi haya maandamano yakafika hata huku vijijini kwetu maana huku ndo panahusika kabisa na hoja zote za maandamano tuna hamu ya kupeperusha bendera ya ukombozi wetu:usa2::usa2: haimaanishi...
JINAMIZI la taasisi za serikali kushtakiwa nje ya nchi na kudaiwa mabilioni ya shilingi, limehamia Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), ambalo limeburuzwa kortini na Kampuni ya Celtic Capital Corporation ya Marekani likidaiwa sh 1.6 bilioni huku Shirika la Ndege Afrika Kusini (SAA) likidai Sh6.3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.