Hii ni episode moja tu niliyowahi kuipata as to why JK ni sisimizi kwa Mwandosya.
Hapo zamami za kale waliwahi fanya kazi wizara moja, JK akiwa waziri Mwandosya katibu mkuu. Basi kama umjuavyo ****** mbabaishaji akaibabaisha wizara kufikia point ya Mwandosya kuondoka kwa hiari akaapa hawezi fanya kazi na mpumbavu. Na katika kiapo hicho alisema siku JK akichukua fomu ya uraisi lazima na yy achukue kumuonesha kumpinga hadharani, na ndicho alichikifanya 2005. Na Mwandosya aliwahi kuwa kwenye blacklist ya JK so ikatakikana Prof awe terminated. Mkulu si akaenda huko anakokujua ilikuwa nchi ya jangwa ikachinjwa ngamia kwa madai kwamba the moment inakatika huyu naye huku anakatika. Prof aliishia kuugua sana na kuyumba tu kwa sababu Mungu si Athuman akapona. Waliporudi huku wanasubiri kuhudhuria kuag wanaona mtu yupo tu, yupo tu hadi leo na akajua kuwa prof anajua alichofanya ndo maana hadi leo hii akimuona anamuogopa sababu ya kila alichomfanyia.
Wenye kubisha mbishe, wenye kutetea mumtetee, lakini mwenye nia ya kujua ataenda kutafuta historia ya hawa wawili!!