PICHA: Maandamano ya CHADEMA Mwanza

chadema%2Bfurahisha.12.JPG
chadema%2Bfurahisha.JPG
chadema%2Bfurahisha.5.JPG
 
http://www.wavuti.com/4/post/2011/02/maandamano-ya-wana-chadema-mwanza-katika-picha.html#axzz1ExPgS87P


Ni balaa, msg sent and delivered to JK
 
lol,ningependa hayo maandamano yafanyika ktk majiji ya mwaza,arusha,mbeya,dar es salaam na tanga then tutajua tu kama mkwere atatumia polisi au vipi?nimependa kweli peoples of mwanza ,nangojea kwa hamu ya hapa dar es salaam ,

Lengo kuu ni JK aondoke madarakani au Dowans isilipwe? Nashauri elimu itolewe na viongozi wa CDM watu wajue wanaingia mtaani kwa lengo lipi kuu!
 
Kweli hongera kwa RPC wa Mwanza kwa Amani aliyoionyesha Mwanza sisi wa Arusha tunampongeza sana kwa hapa Arusha wakuu wote wa POLISI wanahofu hatujui ni kwa nini ndo maana kila wakati mabomu ya machozi kwa wingi wakati hakuna hata watu wanaleta uvunjifu wa Amani.
Wala si RPC jeshi zima limestuka sasa hivi kazi ipo kwa watawala
 
Wala si RPC jeshi zima limestuka sasa hivi kazi ipo kwa watawala

Pia ndio namna nzuri ya kuyamaliza nguvu na umaarufu maandamano kama haya hasa mikoani. Hapa Dar huwezi kupata umati kama huu wa Mwanza. Ukiyarudia tena Mwanza hautapata tena watu hawa. Ukiwauliza walioandamana jana wameambulia nini hawatakujibu. Hayakuwa maandamano yao.
 
kama kweli ccm wana akili timamu basi wasijaribu kushindana na nguvu ya umma hilo lilikuwa ni trela tu picha lenyewe baada ya siku tisa kupita kama hamtajirekebisha nyie mafisadi.....
 
we wont bring changes if we will not practice changes hii ikifanyika nchi nzima kwa ushirikiano jamani hayawezi haya maandamano yakafika hata huku vijijini kwetu maana huku ndo panahusika kabisa na hoja zote za maandamano tuna hamu ya kupeperusha bendera ya ukombozi wetu:usa2::usa2: haimaanishi USA

realy CDM
 
Nadhani kamanda Siro anajitegemea sana kimaamuzi. Anashirikiana na watu vzr pia ndio maana juhudi zake ktk kupambana na ujambazi zinafanikiwa. Big up Siro

Namtakia kila la heri kamanda Siro, ila natabiri sasa hivi IGP atafanya mabadiliko na Siro atakuja benchi kusoma magazeti, sikio la kufa halisikii dawa.
 
Mi ndo ningekuwa MRISHO, zamaaaani nshaondoka bora AIBU KULIKO HASARA.

Unajua ana njia nzuri tu ya ku dissolve hii issue maana ilipofikia aki counteract inaweza leta fujo....Afanye haraka swala la katiba akifanikisha transition nzuri he will be our Hero; tatizo ni kuwa je wale wanaomendea madaraka baada yake watamwacha awe hero?
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Inafurahisha sana, people's ..............................watanzania wakiwa hivi,mabadiliko yenye kuleta mageuzi ya kweli ya maendeleo yamefika-na ni sasa. PONGEZI POLISI KWA KULINDA USALAMA WA RAIA BADALA YA KUUA KAMA ARUSHA.

Mheshimiwa polisi ndiyo huwa wanasababisha vurugu kwenye maandamano. Hakuna muandamanaji atakayefanya fujo kama ataridhika kuwa haki yake ya kuandamana haijaminywa. Ni wazi kuwa hata Arusha polisi wasingeingilia maandamano ambayo kimsingi yalikuwa ya amani kusingekuwa na mauaji yaliyotokea.
 
ukosefu wa shughuli za kufanya nao ni tatizo kumbe:rain:

Ni kweli kabisa shosti. Wenzetu wanaita "UNEMPLOYMENT" na ni ajenda kuu kwenye kila kampeni ya kisiasa. Huku kwetu huwezi kusikia mtu anaongelea mikakati ya kupunguza ama kuondoa "UNEMPLOYMENT". Hili ni tatizo kubwa sana Tanzania kwa sasa na ni kama bomu linalosubiri kulipuka wakati wowote.
 
Mimi naamini na nitaendelea kuamini kwamba maandamano yatakayoleta MABADILIKO YA KWELI na ya KUDUMU ni yale yatakayoandaliwa na WANANCHI wenyewe bila kuwahusisha WANASIASA. Vinginevyo tuendelee kufanya hizi sinema zisizo tofauti na FIESTA zinazoandaliwa na CloudsFM.

Naomba mwongozo kidogo hapa. Hivi ina maana wanasiasa siyo WANANCHI? Kama siyo wananchi wao ni wakina nani - WAGENI?
 
Back
Top Bottom