Kuna nini kwenye hizi taasisi inafuata atcl

Mkurya halisi

Member
Feb 23, 2011
15
0
JINAMIZI la taasisi za serikali kushtakiwa nje ya nchi na kudaiwa mabilioni ya shilingi, limehamia Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), ambalo limeburuzwa kortini na Kampuni ya Celtic Capital Corporation ya Marekani likidaiwa sh 1.6 bilioni huku Shirika la Ndege Afrika Kusini (SAA) likidai Sh6.3 bilioni, kutokana na kuvunja mkataba.


Mpaka Desemba 31, mwaka jana, deni la ATCL lilikuwa Sh 75.99 bilioni, ambazo kati ya hizo, Sh 24.34 bilioni zilikuwa deni la ndani na Sh 51.65 bilioni, deni la nje likiwamo la SAA na Celtic Capital Corporation.

Kati ya madeni hayo, ya nje, zipo dola 24.72 milioni (sawa na Sh 37 bilioni), ambazo ni za Kampuni nyingine ya Wallis Trading Inc, linalotokana na kukodi ndege ya Air Bus A320 ( Kwa habari kamili pitia web ya mwananchi newspaper) MY LOOK! itafika mahali kila kitu mkataba umevunjwa tuvunje na huu wa uraisi
 
hUYU RAIS HAFAI KABISA KWANI ALIAHIDI KUWA ANGEHAKIKISHA KUWA MIKATABA YA ATCL , RELI N.K INGEKUWA MIZURI NA YA MANUFAA KWA TAIFA. AKAMWEKA CHENGE KUWA WAZIRI WA MIUNDOMBINU LAKINI AKAWAWEKA WASHIKAJI ZAKE AKINA MATAKA KWENYE MADARAKA BILA KUFUATA UTARATIBU WA AJIRA. SASA TUNAONA MATAKA ALICHOKIFANYA KWA ATCL. MADAI MENGI YANATOKANA NA UZEMBE
 
Kazi ya Mkwere hiyo wakubwa..... Mwizi haji ila kuchinja na kuharibu!!!
 
Kazi ya Mkwere hiyo wakubwa..... Mwizi haji ila kuchinja na kuharibu!!!

mmh awa walifokonyoa kabisa baadala ya kuharibu unajua kuna kuharibu hata akija mwenzako anaweza jua pa kuanzia kurekebisha hapo...qwi qwi qwi qwi labda apewe Aunt Ezekiel awe CEO wa ATCL
 
Back
Top Bottom