Recent content by Mkumbavana

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimemuona Madame B ana kwa ana,Duuuh

    acha mkwala shost, yani kukusifia imekua nongwa! Ningekukashifu je si pangechimbika bila jembe?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimemuona Madame B ana kwa ana,Duuuh

    acha mkwala shost, yani kukusifia imekua nongwa!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimemuona Madame B ana kwa ana,Duuuh

    shikamoo Madame B a.k.a Kipepe
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimemuona Madame B ana kwa ana,Duuuh

    nimemwelezea kama alivyo,Nyele kipilipili kama mkonge
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimemuona Madame B ana kwa ana,Duuuh

    ushashuhudia ngumi za Betina na Zena live?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimemuona Madame B ana kwa ana,Duuuh

    mi nishavaa libuka jeusii nawasubiri mje
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimemuona Madame B ana kwa ana,Duuuh

    katoto kana uchogo kama kona ya jeneza!!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimemuona Madame B ana kwa ana,Duuuh

    mbon safo bwashee
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nimemuona Madame B ana kwa ana,Duuuh

    Anafanana kama Kipepe wa kwenye gazeti la Sani.
  10. M

    JamiiForums Tanzania R.i.p Maiko

    jirani zangu ni kama marehemu, kanisa la bonde la baraka Moshi, stend ya mboya Moshi.
  11. M

    JamiiForums Tanzania R.i.p Maiko

    Amefariki kwa ajali ya pikipiki alipokua ametoka hospitali kumpelekea mke wake chakula aliyelazwa kwa uchungu wa kujifungua,Mwaka jana alimfukuza mke wake mwingine aliyeish naye kwa miaka 3 na kumuoa mke huyu.Ni jirani yangu kijana wa miaka 25
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nimemfukuza mke wangu sa 8 usiku

    Toka juz namwomba chakula ya ndoa ananinyima kwa madai anaumwa,lakini kazi nyingine anafanya, nimeona ananifanyia kusudi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hatimae mke wangu kasalimu amri

    Baaada ya kukata mawasiliano ya tendo la ndoa na mke wangu kumuadhibu kwa kukorofishana na mama yangu na yeye kuniambia nimtaftie mwanamume wa kumliwaza kwa hasira niliamua kuamua kula baa,kuchelewa kurudi na kuhama chumba HATIMAYE mke wangu kuniomba samahani kwa upole na unyonge na kuniambia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania moyo wangu unavuja damu

    Umaitwaje?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hatimae jamii forum yanipa mke mwenye sifa zote

    si ulisema we ni mwanafunzi?Au nimekufananisha
Back
Top Bottom