Mkumbavana
Member
- Jan 24, 2012
- 79
- 22
Anafanana kama Kipepe wa kwenye gazeti la Sani.
Ngoja nisepe mana mwenyewe akija patachimbika
We muache..... Madame B my wii hebu kuja pande hii!!!
mbon safo bwasheeMwenyewe
ngoja nivae miwani, nifunge kitambaa kichwani make vumbi la hapa....he he he!!!Wifi yangu nakuja sasa hv.
Kaka Nicas Mtei yuko wapi?
katoto kana uchogo kama kona ya jeneza!!ha ha ha ngoja wana MKODOBWE waje...
ngoja nivae miwani, nifunge kitambaa kichwani make vumbi la hapa....he he he!!!
mi nishavaa libuka jeusii nawasubiri mjengoja nivae miwani, nifunge kitambaa kichwani make vumbi la hapa....he he he!!!
ushashuhudia ngumi za Betina na Zena live?Hahahaaaaaaa Shosti evelyn salt we mbaya. Afu uone ngumi za watu wazima.
nimemwelezea kama alivyo,Nyele kipilipili kama mkongeWe Mkumbavana nini tena kumkejeli Madame B bila sababu?
ushashuhudia ngumi za Betina na Zena live?
katoto kana uchogo kama kona ya jeneza!!
mi nishavaa libuka jeusii nawasubiri mje