R.i.p Maiko

R.i.p Maiko

pole kwa msiba!hapo kwenye red umenikumbusha kitu kimoja hivi! kweli nionyeshe jirani/rafiki zako nitakwambia wewe ni nani! but still pole sana Mkumbavana
jirani zangu ni kama marehemu, kanisa la bonde la baraka Moshi, stend ya mboya Moshi.
 
Last edited by a moderator:
SO SAD, R.I.P, Mwenyezi Mungu amrehem marehem.
 
RIP wote waliofariki kwa sababu ya boda boda sitosahau my beluved dad..
 
R.I.P Maiko,
pia pole jirani mwema,
pia pole mama mfiwa na malaika mtarajiwa,
pia pole sana mama uliyeachwa/mtalaka.
 
Jamani sisi wengine tuna toa tu pole kwa huyu ndugu yetu.

Kwa anaye fahamu atujuze ni nani huyu mimi simjui wala kusikia mmeniacha jamani
 
Back
Top Bottom