Hatimae mke wangu kasalimu amri

Mkumbavana

Member
Jan 24, 2012
79
22
Baaada ya kukata mawasiliano ya tendo la ndoa na mke wangu kumuadhibu kwa kukorofishana na mama yangu na yeye kuniambia nimtaftie mwanamume wa kumliwaza kwa hasira niliamua kuamua kula baa,kuchelewa kurudi na kuhama chumba HATIMAYE mke wangu kuniomba samahani kwa upole na unyonge na kuniambia kuwa hatorudia tena kuniambia maneno kama yale na ile hamu alokua nayo imeisha. MNAONA? HAWA WANAWAKE UKIWACHEKA NAO WANAKUPANDIA KICHWANI,
 
Sawa mkuu. mbinu hiyo imekupa ushindi this time, next time inaweza isifae. Kila la heri.
 
kama aina yako ndo uanamume mi nilisha declare jamani na ndoa hazina sababu ya kuitwa ndoa.hongera lakini!
 
Mambo ya ndani hayo mnaleta JF? Hamkupita Jandoni? Angalao hata mjomba akufundishe jinsi ya kuendesha siri za ndani!! Pole
 
Keshatafuta wa kummsliza hamu yake, thats why kakwambia hivyo...... Kalaghabhao.....!!!!!
Kusoma kujui, hata picha hauioni?
Kweli sasa naamini katika huu msemo "mwanaume mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe" i thought ni wanawake tuu, i was VERY wrong!!!

U can say that again Dr!
 
wajinga ndo waliwao.....ushasikia washika mapembe.....?????? tafakari.....chukua hatua....
 
Hahhaaaaaa kweli wewe mume zoba.....

Hujiulizi hiyo hamu ya mkeo imeishaje?

Hahahahahahahaaaa

ndo maana mliambiwa muishi nao kwa akili.....

Pole sana......mweh


HATIMAYE mke wangu kuniomba samahani kwa upole na unyonge na kuniambia kuwa hatorudia tena kuniambia maneno kama yale na ile hamu alokua nayo imeisha.
 
Keshatafuta wa kummsliza hamu yake, thats why kakwambia hivyo...... Kalaghabhao.....!!!!!
Kusoma kujui, hata picha hauioni?
Kweli sasa naamini katika huu msemo "mwanaume mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe" i thought ni wanawake tuu, i was VERY wrong!!!

dr please....
Usimuamshe aliyelala... anajiona kidume kukesha baa huku wenzie wanakamua.....
Hahaahahaha
halafu anatembea kifua mbele yeye mwanaume....
Loh.... Wakati Wanaume washamaliza hamu ya mkewe hahahahahahahahahahahah uwiiiiiiiiiiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom